Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Ungalikuwa unaweka ushahidi wa aya na reference unapojibu

Yohana 18

31 Basi Pilato akawaambia, Haya! Mtwaeni ninyi, mkamhukumu kwa ile torati yenu! Wayahudi wakamwambia, Sisi hatuna ruhusa ya kuua mtu.

Umeona hapo kuwa wayahudi hawakuwa na ruhusa ya kuuwa mtu na kwenye ule mtego wao bwana Yesu alilijuwa hili ndio akawajibu vile kwenye ule mtego wao.
Tofautisha wayahudi wakiwa chini ya utawala wa Rumi, pale walikuwa watumwa.

Bt Wayahudi walipokuwa njiani Kutoka misri kwenda Canaan walitumia TORATI.

Walitumia hizo TORATI ya Musa zamani kuua wezi, kupiga mawe wazinzi, kuua wafiraji hadharani nk nk.

Umeelewa?
 
Tuanze: Alisema hakuja kutangua bali kutimiliza, umeelewa nini kuhusu kutimiliza?

Je unakubaliana na lipi kati ya haya? Au haukabali chochote?
1. Torati ilikuwa pungufu (haitoshi kumkamilisha mtu)

2. Alikuja kutimiliza yani kukamilisha yote hivyo hatupo chini ya torati tena bali chini ya kristo mwenyewe.

kwani wewe kutengua umeelewa nini ??ni kuiondosha???

Angalia tafsiri kutoka biblia tofauti kuna kuiondosha sheria hapo ???

Matthew 5:17 - Compare Bible Verse Translations
 
Tofautisha wayahudi wakiwa chini ya utawala wa Rumi, pale walikuwa watumwa.

Bt Wayahudi walipokuwa njiani Kutoka misri kwenda Canaan walitumia TORATI.

Walitumia hizo TORATI ya Musa zamani kuua wezi, kupiga mawe wazinzi, kuua wafiraji hadharani nk nk.

Umeelewa?
Nimekuelewa sana mkuu lakini hakuna mahali Bwana Yesu alisema nimekuja kuiondoa sheria
 
Hii biblia unatumia version gani, hayo maneno kwenye mabano ni mawazo yako bila shaka.

Naomba tumia SUV au RSUV ndio twende pamoja.
Umekariri uongo mkuu

Wagalatia 4:10
Mnashika siku, na miezi, na nyakati, na miaka.
Uongo ni upi ?? Nifahamishe tafadhali
 
Tuanze: Alisema hakuja kutangua bali kutimiliza, umeelewa nini kuhusu kutimiliza?

Je unakubaliana na lipi kati ya haya? Au haukabali chochote?
1. Torati ilikuwa pungufu (haitoshi kumkamilisha mtu)

2. Alikuja kutimiliza yani kukamilisha yote hivyo hatupo chini ya torati tena bali chini ya kristo mwenyewe.

Hizi , Biblia mbili zimeweka vizuri

New Century Version for Matthew 5:17

17 "Don't think that I have come to destroy the law of Moses or the teaching of the prophets. I have not come to destroy them but to bring about what they said.

New International Reader's Version for Matthew 5:17

17 "Do not think I have come to get rid of what is written in the Law or in the Prophets. I have not come to do that. Instead, I have come to give full meaning to what is written.
 
Nimekuelewa sana mkuu lakini hakuna mahali Bwana Yesu alisema nimekuja kuiondoa sheria
Nakubaliana nawe 100%.

Sheria zote ziko pale pale bt Yesu ameiteua SHERIA ya UPENDO kuwa above all laws.

Yesu ndiye Mungu na tangu Mwanzo Hadi ufunuo ziliandikwa habari zake.

Ukiwapo Upendo Kwa Mungu na Kwa WANADAMU wenzetu, hakuna mtu ataiba, kuzini, hapatakuwa na shoga, no kutamani, no uongo kusengenya, no uchawi nk nk.

Nw hatui wachawi,au kuwaua wazinzi ktk mwili, nw tunauua Uchawi ndani ya mchawi na mchawi anaacha kuwanga, tunauua wizi ndani ya Mwizi anaacha kuiba, tunauua USHOGA ndani ya shoga anarudi kuwa Mwanaume kamili. We kill evel spirit daily Kwa upanga wa Roho MTAKATIFU.

Bt Upendo hautupi KIBALI kutenda dhambi, HUKUMU watakayopata WANADAMU baada ya ujio wa Yesu ni kubwa kuliko watakayopata ambao waliishi Kwa kufuata SHERIA ya Musa pekee zamani kabla Yesu hajaja ktk mwili.

Yesu ni mkali sana juu ya DHAMBI ikiwa mwanadamu atakataa kutubu na kuishi maisha matakatifu.

Atakapokoja Kwa HUKUMU ni hatari sana, hata miti itakimbia, anatisha sana ahukumupo dhambi.

Ndugu GAVANA, unamhitaji Roho MTAKATIFU, Roho wa YESU aingie ndani Yako na kukusaidia kuelewa maandiko.

Tofauti na hapo Utakuwa unaweka vifungu na hakuna atayekuelewa sababu maandiko na maneno Yako hayana nguvu ya Mungu inayothibitishwa na Roho MTAKATIFU.

ROHO mtakatifu ni HALISI, anaishi ndani Yetu, na tunaisikia sauti yake waziwazi, hutufafanulia maandiko na kutuongoza kusema au kuelezea NENO la Mungu.

Nakuombea upewe zawadi hiyo ya KUMPOKEA ROHO MTAKATIFU Ili ndani Yako zitoke chemchemi zielekeazo katika Uzima wa milele.

Amen
 
Wapi nimemshangaa Lema? Kwanini ashindwe kusema ushoga ni dhambi? Ana beat around the bush
Hawezi kutamka hayo maneno kwasababu yeye na familia yake wamepewa hifadhi mataifa yanayokubaliana na ushoga so hata kama anaupinga hatoweza kusema wazi wazi kwasababu akifanya hivyo watu watarekodi maneno yake na kuyatuma Kwenye media na matokeo yake ni yatawafikia raia wa mataifa ya magharibi na yeye atashutumiwa kwa kuwachukia mashoga.

So hawa jamaa muwaelewe tu kuwa hii vita hawawezi kuwa mstari wa mbele [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yuko sahihi, umuadhibu mtu kwa kufanya maamuzi ya maisha yake mwenyewe ambayo hayana athari yeyote kwenye maisha yako kama sio uonevu ni nini?
Mfano mashoga wakaongezeka eneo unaloishi na wale mabahasha wanaowatafuna ukaja kupewa taarifa wanamendea mtoto wako wa kiume wamle firigisi na mkeo wanataka wamle firigisi pia. Utachukua hatua gani ewe muungwana usiependa kuingilia maisha ya watu?
 
Nakubaliana nawe 100%.

Sheria zote ziko pale pale bt Yesu ameiteua SHERIA ya UPENDO kuwa above all laws.

Yesu ndiye Mungu na yangu Mwanzo Hadi ufunuo ziliandikwa habari zake.

Ukiwapo Upendo Kwa Mungu na Kwa WANADAMU wenzetu, hakuna mtu ataiba, kuzini, hapatakuwa na shoga, no kutamani, no uongo kusengenya, no uchawi nk nk.

Bt Upendo hautupi KIBALI kutenda dhambi, HUKUMU watakayopata WANADAMU baada ya ujio wa Yesu ni kubwa kuliko watakayopata ambao waliishia Kwa kufuata SHERIA ya Musa pekee.

Yesu ni mkali sana juu ya DHAMBI ikiwa mwanadamu atakataa kutubu na kuishi maisha matakatifu.

Atakapokoja Kwa HUKUMU ni hatari sana, hata miti itakimbia, anatosha sana ahukumipo dhambi.

Ndugu GAVANA, unamhitaji Roho MTAKATIFU, Roho wa YESU aingie ndani Yako na kukusaidia kuelewa maandiko.

Tofauti na hapo Utakuwa unaweka vifungu na hakuna atayekuelewa sababu maandiko na maneno Yako hayana nguvu ya Mungu inayothibitishwa na Roho MTAKATIFU.

ROHO mtakatifu ni HALISI, anaishi ndani Yetu, na tunaisikia sauti yake waziwazi, hutufafanulia maandiko na kutuongoza kusema au kuelezea NENO la Mungu.

Nakuombea upewe zawadi hiyo ya KUMPOKEA ROHO MTAKATIFU Ili ndani Yako zitoke chemchemi zielekeazo katika Uzima wa milele.

Amen

Nimekuelewa Mkuu isipokuwa bado hujaweka aya na reference za maneno yako.

Hakuna aya yoyote katika Biblia inayosema kwamba Yesu ni mungu, kinyume kabisa na baadhi ya Wakristo wanaoamini kwamba Yesu ni mungu.

Tunaposoma Biblia tunakuta aya kadhaa zinazoeleza kwamba Yesu ni mwana wa Adamu. Basi mwana wa Adamu hawezi kuwa mungu wala mwana wa Mungu. Biblia inasema:

1. Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa, wakasema mlafi huyu na mlevi. (Mathayo 11:19).

2. Kwani kama vile Yona alivyokuwa mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo, Mwana wa Adamu atakavyokuwa kwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mathayo 12:40).

3. Yesu akamwambia, mbweha wana pango, na ndege wa angani wana viota, lakini mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake. (Mathayo 8: 20). Tunaposoma Biblia tunakuta mara nyingi sana Yesu anaitwa Mwana
wa Adamu. Kwa mfano: Mathayo 8:20, 9:6, 12:40, 14:28, 16:27, 17:22, 24:30 na 26:45. Marko 2:10, 9:31 na 14:21-40. Luka 9:44. Yohana 5:27 na Matendo 7:56.

Kama Mwana wa Kondoo ni kondoo – Mwana wa mbuzi huwa ni mbuzi vile vile Mwana wa Adamu ni binadamu. Haieleweki ni kwa sheria na kanuni gani Mwana wa Adamu anapachikwe jina la Mungu au Mwana wa Mungu?

4. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, Mwana wa Daudi, Mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1)

Umeniambia namhitaji Roho mtakatifu,

Swali :

Hivi Roho Mtakatifu wa kanisa lipi ndiye sahihi ?? kwani kila kanisa linasema linaongozwa na Roho mtakatifu na kila moja linadai ndilo liko sahihi ??
 
Hapana, watu wakifukuana tope kwenye faragha zao, wewe unaathirika nini mpaka uwaue?
Nakuuliza tena ikatokea kuna mtu anaekula mashoga amevutiwa na mtoto wako wa kiume anaanza kumtongoza anataka amle tako, wewe kama baba yake hilo jambo utachukua hatua gani je utasema haya maneno kuwa ni maamuzi yake binafsi kuamua kuliwa au kukataa?!
 
Lema yupo sawa. Mbona hamwakamati malaya waliotapakaa nchi nzima?
Malaya wanafanya kitendo halali nje ya mfumo rasmi na kwa utaratibu usio rasmi. Mwanamke na mwanaume kiutaratibu wanatakiwa kushiriki mapenzi wakiwa ni watu wazima timamu, ambao wanajitegemea na wanaridhaa za wazazi wao pande zote mbili kuishi pamoja kama mke na mume.

Ila hayo ambayo yanatokea ni utomvu wa nidhamu. Ila ushoga ni story nyingine kabisa.

Ni sawa uhoji kwann watu wanaokula nyama za watu wachukuliwe hatua kali zaidi kuliko wanaokula nyama ya kitimoto? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekuelewa Mkuu isipokuwa bado hujaweka aya na reference za maneno yako.

Hakuna aya yoyote katika Biblia inayosema kwamba Yesu ni mungu, kinyume kabisa na baadhi ya Wakristo wanaoamini kwamba Yesu ni mungu.

Tunaposoma Biblia tunakuta aya kadhaa zinazoeleza kwamba Yesu ni mwana wa Adamu. Basi mwana wa Adamu hawezi kuwa mungu wala mwana wa Mungu. Biblia inasema:

1. Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa, wakasema mlafi huyu na mlevi. (Mathayo 11:19).

2. Kwani kama vile Yona alivyokuwa mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo, Mwana wa Adamu atakavyokuwa kwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mathayo 12:40).

3. Yesu akamwambia, mbweha wana pango, na ndege wa angani wana viota, lakini mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake. (Mathayo 8: 20). Tunaposoma Biblia tunakuta mara nyingi sana Yesu anaitwa Mwana
wa Adamu. Kwa mfano: Mathayo 8:20, 9:6, 12:40, 14:28, 16:27, 17:22, 24:30 na 26:45. Marko 2:10, 9:31 na 14:21-40. Luka 9:44. Yohana 5:27 na Matendo 7:56.

Kama Mwana wa Kondoo ni kondoo – Mwana wa mbuzi huwa ni mbuzi vile vile Mwana wa Adamu ni binadamu. Haieleweki ni kwa sheria na kanuni gani Mwana wa Adamu anapachikwe jina la Mungu au Mwana wa Mungu?

4. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, Mwana wa Daudi, Mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1)

Umeniambia namhitaji Roho mtakatifu,

Swali :

Hivi Roho Mtakatifu wa kanisa lipi ndiye sahihi ?? kwani kila kanisa linasema linaongozwa na Roho mtakatifu na kila moja linadai ndilo liko sahihi ??
Unatakiwa kwanza umkiri Yesu kristo kama BWANA na mwokozi wa maisha Yako ndipo uombe kumpokea Roho MTAKATIFU.

Unaquote bible verses kimwili na humjui YESU ni nani, so kusema habari za Yesu na humwamini au mumjua Yeye ni nani unakua ANTI CHRIST kama wayahudi ndomana walimwua. Usidiriki kusambaza habari za Yesu usiyemjua utapata ADHABU kubwa sana.

Umeniuliza Roho MTAKATIFU wa KANISA lipi yupo sahihi?

Nami ntakuuliza Kanisa ni nini?

KANISA.

KANISA ni mtu, Roho mtakatifu Hakai kwenye majengo unayoyaita makanisa. ROHO MTAKATIFU anakaa ndani ya mtu mmoja mmoja amwaminiye Yesu kama Mungu na njia pekee ya Mbinguni.

USHAURI.

Funga Kwa siku Saba, omba Yesu ajifunue kwako Kwa UPYA!!

Muulize akufunulie kwann Anaitwa mwana wa Mungu, hapo hapo anajiita mwana wa daudi, tena anajiita mwana wa Adamu,

Muulize why anasema tena kabla Daudi hajazaliwa Yeye Yesu alikuwapo, Muulize tena kwann alisema ana mamlaka ya kusamehe dhambi na wakati mamlaka hayo ni ya Mungu pekee?

Muulize why, Nabii Isaya alisema tazama bikra atachukua mimba na kuzaa mwana, ataitwa Immanuel yaani Mungu pamoja na WANADAMU, Immanuel Yuko wapi na ni nani?

Muulize kwann Yohana alisema Yesu ndiye Neno aliyekuwa Kwa Mungu na alikuwapo Kwa Mungu na alikuwa Mungu,

Muulize kwann aliwaambia makutano kuwa ukiniona Mimi Yesu, umemwona Mungu, na akamwambia Mungu Yu ndani yangu, na Mimi Yesu ni ndani ya Mungu,

Muulize pia kwann aliwaambia wayahudi kuwa hayupo mwenye Uwezo wa kuniua, au kuutoa uhai wangu, Bali Mimi Yesu Nina mamlaka ya kuutoa uhai wangu Kisha nikaurudisha tena KTK MWILI!!!!!!!

Muulize kwann Yesu ulipopaa Mbinguni uliwaaambia wanafunzi kuwa utamtuma Roho wako MTAKATIFU na Roho huyo atamshuhudia Yesu na akisema tofauti na aliyofundisha Yesu huyo ni ROHO wa UWONGO?

Muulize Yesu kwann Mary alipata ujauzito Kwa uwezo wa ROHO MTAKATIFU na hapohapo aseme BAADAYE atamtuma Roho wake, yaani awe tena sawa na Roho aliyesaidia kuingia ndani ya tumbo la Mariam?

Muulize pia why amkane Mary na ndugu zake ambao wayahudi walijua kuwa ndo mama yake Kwa kusema " Mama yangu na ndugu zangu ni akina nani, ??Mama yangu na ndugu zangu ni Hawa wanaolisikiza neno la Mungu".

Muulize kwann Mungu hashuki mwenyewe kuuhukumu Ulimwengu ktk ufunuo juu ya siku ya mwisho? Anakuja Yesu Badala ya Mungu na Kila goti Mbinguni na duniani anapigiwa YESU hujiulizi Yesu ni nani?

Hujiulizi why mapepo hayatoki Kwa Jina la Mungu, yanatolewa Kwa Jina la YESU? Yesu angekuwa Si Mungu Pepo wangetii vp wanapofukuzwa Kwa Jina lake Yesu?

Mungu zamani amejifunua Kwa majina ya KAZI zake, by Jina lake lilikuwa limefichika, bt limefunuliwa ktk agano jipya.

Muulize aliyeandikwa ameketi mkono wa kiume wa Mungu ni nani? Nini maana ya kuketi mkono wa kuume wa Mungu? Je Pana mtu anaweza kuketi ktk mkono wa kuume wa Mungu?
In spirit ukibahatika Kumuona aliyeketi ktk KITI Cha enzi utakuta ndiye huyo huyo YESU aliyekuja kama mtu akasulubiwa, akautoa uhai wake, na kujifufua na kurudi tena ktk uhalisia na uungu enzi yake.

Niliwahi kuwa na maswali kama Yako na nilitaka kuchanganyikiwa, bt nilipomruhusu Roho mtakatifu anifundishe, nilielewa.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Nakuuliza tena ikatokea kuna mtu anaekula mashoga amevutiwa na mtoto wako wa kiume anaanza kumtongoza anataka amle tako, wewe kama baba yake hilo jambo utachukua hatua gani je utasema haya maneno kuwa ni maamuzi yake binafsi kuamua kuliwa au kukataa?!
Mkuu, umeshasema ni mtoto....mtoto bado anahitaji uangalizi na ulinzi wa mzazi na sheria zipo wazi kuhusu watu wanaowarubuni watoto wadogo kwenye masuala ya ngono hivyo mimi kama mzazi nitakwenda kwenye vyombo husika.

Lakini linapokuja suala la mtu mzima hata kama ni mwanangu, sina mamlaka ya kuingilia maamuzi yake kwenye faragha zake, ninachoweza kufanya ni kutoa ushauri tu.
 
Baba unayo mamlaka ya kuinfluence maamuzi ya mwanao hata kama ni mtu mzima.

Mungu amempa mamlaka mzazi ya uungu, kama ambayo umekaimishwa uwezo wa kuumba mtoto, unaweza kumlaani au kumbariki.

Mzazi ana uwezo wa kumbadilisha mtoto wake Kwa mamlaka ya kinywa chake, mzazi ana uwezo wa kumuombea mtoto mwovu Mbingu na akaipata.

Ikitokea umezaa mtoto na akafa dhambini hata kama ni above 18, utaulizwa na utahukumiwa Kwa UOVU wa mwanao.

Mungu alikupa tangu akiwa mchanga umkuze ktk neno la Mungu.

Kama Mungu amekuokoa, watoto wako pia wako ktk favor ya wokovu ikiwa utawaombea bila kuchoka hata kama wanatenda maovu Kwa HIARI Yao.

Mungu ameahidi wokovu Kwa mtu na uzao wake. Hivyo kama umebahatika kumjua Mungu, uwe na HAKIKA Mungu huyo anawataka na watoto wako wamuamini na kumtumikia.

Vile vile baba akiwa mchawi Kwa mfano, miungu na mapepo ya kichawi yatataka kumiliki na wanaweza sababu kuu ni mtu ameunganishwa na uzao wake.

Kama wewe ni mcha Mungu, mtoto wako Kwa HIARI Yako akiamua kuwa kahaba Kwa mfano, isikubali, mpeleke ktk maombi, utamrejesha ktk njia sahihi.
 
Back
Top Bottom