Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
We jamaa hiyo Clip iko wapi?Sikiliza hapa:
Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:
"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.
"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."
pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Wamkamate kwa nini pengine watake ushahidi vinginevyo kasema yeyeKumekucha!!
Nimesikia hayo majina na nasubiri kusikia kama watamkamata Lema au watamtaka atoe ushahidi ingawa kawa mjanja kwa kutaja wachache akimanisha mawaziri wote.
Safi Lema kwa hilo umeonesha ujasiri na uwazi kuliko Makonda!Sikiliza hapa:
Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:
"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.
"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."
pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Chadema huwa hawana sera wanadandia dandia hoja za viongozi wa CCMKwahio Lema anamsaidia Makonda sio!?
Magazeti yataandika "Sasa Makonda na Lema ni wamoja"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.
"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."
Tupe link Mkuu ...wapeifunga hai playSikiliza hapa:
Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:
"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.
"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."
pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Demage control ni bora unitaje wewe rafiki yangu kuliko kutajwa na yule adui(tusimpe ujiko)Kwahio Lema anamsaidia Makonda sio!?
IngiaWe jamaa hiyo Clip iko wapi?
Kule Instagram Chademakaskazini Makombora LIVENoma sana!
YAPO MAMBO KUYAELEWA YANATAKA AKILI KUBWA SANA, PRINCIPLE ANAYOITUMIA LEMA KWA WENYE AKILI NDOGO HAWATAWEZA KUIELEWA, AND NEVER CONNECT THE DOT, PRINCIPLE YA LEMA NI VERY EASY, KUZALISHA "COMFUSION IN BETWEEN " WAKOSANE WAGAWANYIKE,WHICH IS CAN'T WORK, KWA AKILI ZILIZOTULIA THE INFLICTOR NI CHADEMA, NA WATU WAWILI AU WATATU NDANI YA CCM YENYEWE, AND NOT A MOB.Sikiliza hapa:
Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:
"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.
"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."
pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Watajua hawajui!YAPO MAMBO KUYAELEWA YANATAKA AKILI KUBWA SANA, PRINCIPLE ANAYOITUMIA LEMA KWA WENYE AKILI NDOGO HAWATAWEZA KUIELEWA, AND NEVER CONNECT THE DOT, PRINCIPLE YA LEMA NI VERY EASY, KUZALISHA "COMFUSION IN BETWEEN " WAKOSANE WAGAWANYIKE,WHICH IS CAN'T WORK, KWA AKILI ZILIZOTULIA THE INFLICTOR NI CHADEMA, NA WATU WAWILI AU WATATU NDANI YA CCM YENYEWE, AND NOT A MOB.
"Wanajaribu kuivuruga ccm, tuwe makini, form ya urais ni moja tu, 2025 kama vile waziri mkuu alivyosema, nasikitika kumuingiza Bw. Kassim na mwigulu, kwenye mgogoro huu"
Bw, Januari Tunautaka huu mtetea mahakama ya kisutu ASAP!
"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."Kwahio Lema anamsaidia Makonda sio!?
Alete ushshidi, ama sivyo ni fitna na majungu.Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameumizwa Sana na Tabia ya mawaziri kumtukana Rais
Lema amelalamika na kuhuzunika Sana ukurasani Kwake Kule X
Nawatakieni Sabato njema
Ingia InstagramMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameumizwa Sana na Tabia ya mawaziri kumtukana Rais