Makonda hakupaswa kuachwa ashuke kwenye podium hiyo Jana bila kuwataja. Alipaswa kuwataja na kuweka ushahidi hadharani or else Kisongo ingemhusu Jana hiyo hiyo.Mmmhhhh...!!! Hili nalo ni kuangalia kwa jicho la ndani zaidi, usikute ni kumchonganisha Mkuu wa nchi na wasaidizi wake wa karibu, sio jambo la kukurupuka, vyombo vipo vifanye kazi yake
Na wewe mkuu wa wilaya kwanini ujinyee kama sio Kichaa?Chadema huwa hawana sera wanadandia dandia hoja za viongozi wa CCM
Mfano leo mkuu wa wilaya akijinyenyea hadharami kesho itakuwa ndio hoja kuuya Chadema ya mikutano ya hadhara na maandamano .Hotuba zikijikita kwenye kujinyea kwa mkuu wa wilaya
Sema tupo na katiba ya kipumbavu , inatakiwa kuwa na katiba ambayo ukisha kuwa rais teuwa watu lingana na upeo wao , Lema ni moja ya watu walitakiwa kuwa kwenye baraza la Mawaziri sema ccm wao huangalia nani anatoka familia ipi ,uchama mbele kuliko taifaSikiliza hapa:
Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:
"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.
"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."
pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Imebidi niidownload Ndio nmeweza kuiona, ila kwa hapa kwenye uzi imenigomeaMbona inafunguka
Ndio maana kapewa jina la imakulata ambalo tafsiri yake ni mwanamke kiherehereLemma nae ana kiherehere sana. Yaani anapenda sana kudandia dandia mambo. Yaani hapo kaona amuwahi makonda. Na hapo hana facts zozote ni kuropoka tu. Watu wakiishiwa hoja huja na vioja
Hii list haiko mbali na ya makondaSikiliza hapa:
Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:
"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa na wakina Mwigulu, Kina January, Majaliwa, Ummy Mwalimu, Mawaziri wote wanamtukana Rais jamani.
"Anaenda wapi yule Mama wa watu, wanamtukanaje Mimi Sijui lakini wanamtukana."
pia soma
- Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Vp kuhusu huyo mwehu aliyetaja majina kabisa tena bila ushahidi?Makonda hakupaswa kuachwa ashuke kwenye podium hiyo Jana bila kuwataja. Alipaswa kuwataja na kuweka ushahidi hadharani or else Kisongo ingemhusu Jana hiyo hiyo.
Hujaelewa anachokifanya Lemma,anawapigisha shoti maccm,kifupi anachochea kuni moto ukoleeAmeona aungane na makonda kwenye one one two sawa tumekuelewa, dj tulete na nyimbo ya utaipenda tukate kiuno kwa pamoja
....wewe ndo umetukanwa mkuu....?Nimelia....
Majina yametajwa Jana na Makonda aliposema wamo na mawaziri. Alivhofanya Lema ni kuanza kutaka randomly mifano ya mawaziri.Vp kuhusu huyo mwehu aliyetaja majina kabisa tena bila ushahidi?
Hapana ni "mama yangu"....wewe ndo umetukanwa mkuu....?
Kuna waziri mwenye jina hilo hapa Tanzania ...Majina yametajwa Jana na Makonda aliposema wamo na mawaziri
Wakati JPM anatukanwa , walikua ni Akina nani?.Bado nitakuwa wa mwisho kuamini kana kuna waziri kabisa ashiriki.