Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
Afadhali useme, maana tumechoka [emoji3062]
Jamani Watanzania tumwendee Mwenye Enzi Mungu atusaidie kuhusu hawa watu wanao fuja pesa za Watanzania!
Tumlilie Mola wetu!
Kweli nawaambia Mwenye Enzi Mungu ana tenda.
Tuiombee nchi yetu jamani[emoji24][emoji24][emoji24] sio kila siku unaombea family yako tu na nchi una I sahau!
Tufunge na kuomba kwani Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana sana![emoji24][emoji24]
Kwahiyo mnataka kumuua au? Ngoja tuweke kumbukumbu.Huyu atakuwa amechoka na maisha, anataka kui test sumu kwa kuionja! Sasa hivi tutamsahau!
P
Wanamsifia kuwa ataenda kuifanya Tanesco ya kisasa umeme wa bure kila chumba.january anatakiwa kujua kuwa anabebwa sana lkn kichwani sio mzuri kabisa.
Hana kitu cha kujisifia kuwa amekifanya zaidi ya kuwa 'mpiga deal'
Ajabu. Kashindwa kumpa onyo akiwa naye uso kwa uso, aje ampe onyo mitandaoni!Hahahah vita ya walamba asali kulikoni milukuwa pamoja kwenye sherehe ya Membe imekuwaje tena?
Kwani siyo special?Yaani mnavyozidi kumchukia ndivyo atazidi kuwa Juu..
Kwani Lema yeye ni nani hasa Hadi ajitwalie mamlaka ya kuhukumu? Atashushwa yeye,anajikutaga special sana huyo.
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
Ayubu 14:1
Vipi mna mpango wa kumuua na yeye?Huyu atakuwa amechoka na maisha, anataka kui test sumu kwa kuionja! Sasa hivi tutamsahau!
P
Pascal, unamaanisha nani aliyechoka? Lema au January?Huyu atakuwa amechoka na maisha, anataka kui test sumu kwa kuionja! Sasa hivi tutamsahau!
P
Lemma mambo ya kutoa onyo yamepitwa na wakati wewe ruka naye fastaMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema hivi karibuni atatoa Onyo kali kwa January Makamba
Lema akiwa amepost picha aliyopiga Yeye, January Makamba na Nape Nnauye wakijadili jambo msibani kwa Membe amesema January ni Waziri siyo First born wa SSH hivyo kiburi chake kitashushwa
Lema ametoa angalizo hili kupitia ukurasa wake wa twitter
Hatari na nusu!
=========
MsimtekeHuyu atakuwa amechoka na maisha, anataka kui test sumu kwa kuionja! Sasa hivi tutamsahau!
P
Unaonekana unayajua mengi kuhusu makamba eeeh??? Sasa jua kuwa kila mbabe na mbabe wake , usidhani ni makamba tu ndo anaiweza hiyo michezo , chunga sana huo mdomoHuyu atakuwa amechoka na maisha, anataka kui test sumu kwa kuionja! Sasa hivi tutamsahau!
P
Hao ni wale wajikombaji, Kujikomba ndio kunawaweka mjini, usidhani wanatumia akili zao kuishi mjini,Linapokuja issue ya link na chadema, huwa unakuwa irritated! Una nini na familia ya chedema?
Exactly, kama kuna mtu wa hovyo ni huyu Pascal Mayalla sijui kama huwa anafikiri kama msomiHao ni wale wajikombaji, Kujikomba ndio kunawaweka mjini, usidhani wanatumia akili zao kuishi mjini,
Mbona unamtisha P?Unaonekana unayajua mengi kuhusu makamba eeeh??? Sasa jua kuwa kila mbabe na mbabe wake , usidhani ni makamba tu ndo anaiweza hiyo michezo , chunga sana huo mdomo