Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Afadhali useme, maana tumechoka [emoji3062]
Jamani Watanzania tumwendee Mwenye Enzi Mungu atusaidie kuhusu hawa watu wanao fuja pesa za Watanzania!
Tumlilie Mola wetu!
Kweli nawaambia Mwenye Enzi Mungu ana tenda.
Tuiombee nchi yetu jamani[emoji24][emoji24][emoji24] sio kila siku unaombea family yako tu na nchi una I sahau!
Tufunge na kuomba kwani Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana sana![emoji24][emoji24]

DAWA NI KUANDAMANA MPKA KUITOA HII SEREKALI MADARAKANI

NA SIYO KULIALIA.

AMANI HAIJI ILA KWA NCHA YA UPANGA
 
Lema analeta mipasho badala ya siasa. Sasa "First born", sijui "onyo". What is this nonsense?

Lete hoja za katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, maendeleo ya wananchi au hata positivity.

Lema anapenda personal confrontations zisizo na kichwa wala miguu.

Kama una mpango wa kumdhuru January tumeishamark kauli yako!
 
Kiswahili kipp bayana kabisa sasa kama kiswahili tu kinawashinda nawaza tu hicho kingereza
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema hivi karibuni atatoa Onyo kali kwa January Makamba

Lema akiwa amepost picha aliyopiga Yeye, January Makamba na Nape Nnauye wakijadili jambo msibani kwa Membe amesema January ni Waziri siyo First born wa SSH hivyo kiburi chake kitashushwa

Lema ametoa angalizo hili kupitia ukurasa wake wa twitter

Hatari na nusu!

=========

Lemma mambo ya kutoa onyo yamepitwa na wakati wewe ruka naye fasta
 
Back
Top Bottom