uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,085
- 2,996
Kuku akimsusia mwenye nyumba,ajue kicheche atapata mlo jioni yake.Asante kwa kuchukua muda kunielimisha. Ila hii itakuwa mara ya mwisho kujadiliana kitu na wewe kwa sababu ya lugha uliyotumia. Nakuweka kwenye ignore list yangu. Chochote utakachoandika, sitakiona.
Amandla...
Fuatilia vizuri na hata habari g55 kama haina mkono ama viashiria vya m.kiti aliyehudumu katika vyama viwili.Hapana. Hàpana. Hapana. Chadema ndiyo chama changi lakini Lisu alinikatisha tamaa alovyotafuta " ukubwa" kwa kumbagaza Mbowe kwa kila uongo wa ubaya. Nikamuona Lisu hafai kuniongoza. Nikaachana na Chadema. Lakini nabaki mwanachama idle!
Haiwezekani chama kilichokufa kikashiriki kwenye uchaguzi, maana ilisemwa Lissu akiwa mwenyekiti chama kitakufa ndani ya miezi miwili huu unaelekea mwezi wa nne sasa...tufuatilie watia nia wa vyama hai kama TLP,NCCR,CCM n.k.G55 ni wanachadema watia nia wanaojiandaa kushiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025,
Na miongoni mwa watia nia hao wa g55 ni Tundu Lisu na heche 🐒
aulizwe alisema hayo gentleman,Haiwezekani chama kilichokufa kikashiriki kwenye uchaguzi, maana ilisemwa Lissu akiwa mwenyekiti chama kitakufa ndani ya miezi miwili huu unaelekea mwezi wa nne sasa...tufuatilie watia nia wa vyama hai kama TLP,NCCR,CCM n.k.
Hamna mpinzani mule!'Movement' kama hizi za kina G55 ndani ya Chadema, Mbowe alikuwa hodari mno wa kuzidhibiti bila kuvuruga chama, ila kwa Lissu sijui itakuaje..
JokaKuu zitto junior
🤣🤣🤣🤣. Cheka Tu wamchukue huyo anawafaa!😅😅😅😅Pale mwanaccm anapoonesha huzuni chadema ikifa. Unajiuliza ana maslahi gani na chadema?
Wewe Ndio mjinga unawezaje kujibu hoja za watu waliunga na kuipitisha agenda husika?, Mrema hakuwa sehem ya mikutano?, Punguzeni UJINGA bata wewe.Huyu jamaa ana tofauti gani na Makonda? Badala ya kujibu hoja zao yeye anajikita kwenye uchafuzi. Yaani watu kama Mrema, Ruge, Suzan hawawezi kujiamulia kitu mpaka watumwe?!!! Ovyo sana.
Amandla....
Mizozo by G55.Nilitamani CDM ijikite kwenye kuibua Vijana mashuhuri wapya kuliko kuendeleza mizozo
Kwanza Lissu hakuhusika katika kumuingiza Lowassa CDM?Wewe Ndio mjinga unawezaje kujibu hoja za watu waliunga na kuipitisha agenda husika?, Mrema hakuwa sehem ya mikutano?, Punguzeni UJINGA bata wewe.
Jipange kwenda kulima maweseLema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.
Unahitajika Hekima sana CHADEMA kuvuka salama katika hili vugu vugu maana hakuna adui mbaya kama adui aliye ndani.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama “bidhaa” bila kujua.
"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.
"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.
Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?
Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.
View attachment 3295516
G55=Nzi55.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama “bidhaa” bila kujua.
"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.
"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.
Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?
Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.
View attachment 3295516
Hii kauli mbiu ya no Reform no Election inawapa hofu kupita kiasi, wanaona kama ndo mwisho wao kisiasaNi ccm hao na woga wao juu ya “No reforms no elections!”
Inabidi watumie mamluki wakina Mrema! Boni yai Bado anajificha hajajitokeza.
Hii hii CDM inayochanja Mbuga au CDM gani wakuu mnayomaanisha kama tungekua na watu wakufanya opinion pool zisizokua na bias wakafanya mngepata majibu hiki chama angea hiwa Alpha na Omega muda huu kingekua ICULema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.
Pale alipo hajaenda shule kunwa lkn yupo na akili ile, ogopa sana mtu ambaye yupo na akili ya kuzaliwa, huezi jilinganisha na Lema, nakuhakikishia CCM 29 tena wale (Think tanker) Lema 1!Lema hajawahi kuwa na akili nzuri
Wewe inakuuma nini?Lema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.