Tetesi: Lema kutimkia CCM

Tetesi: Lema kutimkia CCM

Yaani hali mbaya sana wakandarasi na wazabuni wanapumulia mashine fikiria bajeti imesomwa ya 2025/2026 lakini watu hawajalipwa kazi za bajeti iliyopita huko hazina yaelekea kumekauka ukizungumza na wakandarasi wanaambiwa na Tanroads/Tarura pesa hakuna sasa sijui zabuni zinatangazwa za nini
tuliza ball gentleman,
hakuna malipo yanafanyika tena, baada ya mahesabu ya mwaka wa fedha uliopita kufungwa rasmi, mpka hapo tena itakaposomwa, itakapojadiliwa, itakapopitishwa na kuanza kutekelezwa kwa bajeti mpya July Mosi 🐒
 
Sasa wewe theories zako ni zipi kama sio za kijinga na uchawa badilika , ulizaliwa peke yako ,utakufa na kuzikwa peke yako cha msingi angalia nini umeacha kwa vizazi vyako ,watu mia 300 tu ndo wanakula nchi ndani ya ccm nyie kazi yenu kata viuno tu, namanisha mfano anakuja mbunge na waziri kwenye jimbo lako ,fanya mkutano yupo na v8 nyie mnabebana kwenye roli, fuso ,mkokoten ,ndo kukata viuno namanisha mkuu
sasa ndio umeandika nini kamanda🤣
 
Propaganda za kijinga sana tena duni mno! Tangu uingie JF wewe ni tetesi tu, hivi hujawahi kuwa na habari zingine?

Hakika ccm ina vijana Wajinga sana!

Sasa hapa unatafuta Posho au unataka "LIKE" za jf?

View attachment 3018892
huoni hiyo body language na facial expressions ni ya safari kabisa kamanda, we check kigaila anavyotaharuki na kuwaza sasa itakuaje kamanda lem anaondoka kirahisi hivi, nimfate au nimskilizie kidogo?🐒
 
Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya Nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na Chadema. Mnyetishaji alidokeza.

Kilichochochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi za kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urais kupitia Chadema 2025. Baada ya kutathmini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakuwa na mwisho mwema, Lema alianza kujiweka pembeni na baadaye akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu Chadema. Ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua.

Mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba, ndipo Kamanda Lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi mmoja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya. Kwa ahadi kwamba mwandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu Lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo.

Muda utaongea zaidi, Lema atalamba dume CCM kama wengine au atalamba garasa?
Mwenyekiti mbowe angeachia nafasi ya u
 
Naona umeona namna ya nyuzi zako kupata wachangiaji wengi ni kuwataja makada wa cdm na cdm. Kwa taarifa yako Lisu akiondoka cdm ndio itatuumiza sio kamanda yoyote. Hata akiondoka Mbowe kwetu ni poa tu lakini sio Lisu.
 
Kwani CCM bila yeye haisongi mbelee? Kama ni kweli atakaribishwa vyemaa
CCM inasonga mbele vizuri awepo asiwepo, na hata hivyo si muhimu wala Lazima akajiunga CCM, angeweza kwenda vyama vingine, ila kwa nadhani mapenzi kwa yake ameomba kujiunga CCM,

unatamani akataliwe?
ili iweje sasa kwa mfano

mi nadhani apokelewe tu 🐒
 
Atapewa zile pikipiki za kijani kwa ajili ya Shughuli za chama
Yes,
si zile za kimkakati kwa ajili ya maandalizi ya ushindi wa kishindo uchaguzi wa serikali za mitaa ee? atapewa Lazima yaani 🐒
 
Mbona huko anakotimukia (if its true) ndo hayo mambo yanataradadi!!
sifahamu,
pengine ungeandikia uzi tuweze kuelewa na kufahamu kwa kina jambo hilo huko unakodai lipo 🐒
 
Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na kuna moja kutoka kanda ya Nyasa, na wengine wawili ni wa chama kingine tofauti na Chadema. Mnyetishaji alidokeza.

Kilichochochea uamuzi huo ni mgawanyiko ndani ya Chadema, inayochochewa na viongozi wakuu kutokubaliana katika baadhi ya mambo ya ndani ya chama, hususani nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa, maridhiano na CCM, rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha kwenye chaguzi za kanda, wabunge 19 wa COVID-19, na mgombea urais kupitia Chadema 2025. Baada ya kutathmini hali hiyo ya mvutano na kuona kwamba haitakuwa na mwisho mwema, Lema alianza kujiweka pembeni na baadaye akajitenga kabisa na shughuli za chama pamoja na uongozi wa juu Chadema. Ndipo sasa baada ya kutafakari kwa kina, uamuzi wa kujiunga CCM ukaibuka na kupewa kipaumbele na umuhimu wa kipekee, na akaamua kuchukua hatua.

Mnyetishaji alidokeza na kuendelea kueleza kwamba, ndipo Kamanda Lema akaamua kuandika barua kupitia mwandamizi mmoja wa CCM taifa, na kwa kupitia tawi la CCM la karibu aliloko Lema, alimshauri awasilishe maombi yake huko, kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za chama kupokea wanachama wapya. Kwa ahadi kwamba mwandamizi huyo atapushi jambo lake na kumuandalia mapokezi ya heshima ndugu Lema kwa platform ya kitaifa kupitia tawi hilo.

Muda utaongea zaidi, Lema atalamba dume CCM kama wengine au atalamba garasa?
Amka utajikojolea
 
Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Hapa sisi wasomi tuliokuwa huru kiakili ndio tunapata shaka. Lema aombe kujiunga usiku basi alfajiri mapema angalipokelewa tena kwa media zote kuwa live.
CCM hawapokelewi kama kwenye maombi na maombezi kule kwenu.....

ni process,
Lazima zifuatwe vizur kuepuka mkanganyiko baadae juu ya uanachama wake CCM 🐒
 
Rubbish.

Tuongelee mambo yanayogusa nchi, kuna bajeti ya serikali, umeme, ukosefu wa ajira, ufisadi wa kutisha, n.k
nimefurahi pia unafuatilia kwa ukaribu bajeti makini na muhimu sana kwa mustakabali mwema wa Taifa, big up sana kwa hilo 👊💪
 
Naona umeona namna ya nyuzi zako kupata wachangiaji wengi ni kuwataja makada wa cdm na cdm. Kwa taarifa yako Lisu akiondoka cdm ndio itatuumiza sio kamanda yoyote. Hata akiondoka Mbowe kwetu ni poa tu lakini sio Lisu.
sina haja ya wew au mwingine kuchangia hoja au mada zangu...

ile kitu ya muhimu na ya maana zaidi kwangu ni kuhakikisha nashirikisha umma yale mambo yote muhimu ambayo ninayaamini na ninadhani ni muhimu yakafahamika wazi na kusaidia kuongeza uelewa na ufahamu wa jamii kuhusu hayo 🐒

hiyo habari usemayo wew ikusaidie wew kama ni muhimu. by the way mimi ni kiongozi makini sana wa wanainchi, asie babaika wala kutetereshwa na chochote 🐒
 
sina haja ya wew au mwingine kuchangia hoja au mada zangu...

ile kitu ya muhimu na ya maana zaidi kwangu ni kuhakikisha nashirikisha umma yale mambo yote muhimu ambayo ninayaamini na ninadhani ni muhimu yakafahamika wazi na kusaidia kuongeza uelewa na ufahamu wa jamii kuhusu hayo 🐒

hiyo habari usemayo wew ikusaidie wew kama ni muhimu 🐒
Kama huamini, anzisha mada inayohusu ccm na makada wake, uone ni I'd ngapi zitachangia Uzi huo.
 
Back
Top Bottom