Acha bangi wewe. Nani ahangaike na nyinyi mna sera gani za kutisha watu mpka watu wawavamie. Mgombea wenu kila sehemu anaongelea risasi risasi, anatafuta huruma ya wananchi. Mnavunja sheria, hakuna anayesumbuka nanyinyi, mmeamua kuapply plan B kwa kuanza kutengeneza Matukio wenyewe. Mastemind wa haya matukio ni huyo mwizi wa zamani wa magari. Yaani matukio yote yaongozane halafu yatokee kanda ya kaskazini tu.Kuna mtu anatamani sana apite bila kupingwa,safari hii asahau,Tena tunamtaka kwenye mdahalo kama anajiamini, aje na hotuba zake za mapapai na Oilchafu tuone
Nadhani ni wakati muafaka wa kupiga marufuku hii misafara ya Lissu tuone kama kuna matukio yatatokea. Atafute wadhamini kimya kimya kupitia Makatibu wa wilaya na mikoa. Hakuna ulazima wowote wa yeye kwenda kuhutubia, kama watu wanamkubali watamdhamini tu.