Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Kuna mtu anatamani sana apite bila kupingwa,safari hii asahau,Tena tunamtaka kwenye mdahalo kama anajiamini, aje na hotuba zake za mapapai na Oilchafu tuone
Acha bangi wewe. Nani ahangaike na nyinyi mna sera gani za kutisha watu mpka watu wawavamie. Mgombea wenu kila sehemu anaongelea risasi risasi, anatafuta huruma ya wananchi. Mnavunja sheria, hakuna anayesumbuka nanyinyi, mmeamua kuapply plan B kwa kuanza kutengeneza Matukio wenyewe. Mastemind wa haya matukio ni huyo mwizi wa zamani wa magari. Yaani matukio yote yaongozane halafu yatokee kanda ya kaskazini tu.

Nadhani ni wakati muafaka wa kupiga marufuku hii misafara ya Lissu tuone kama kuna matukio yatatokea. Atafute wadhamini kimya kimya kupitia Makatibu wa wilaya na mikoa. Hakuna ulazima wowote wa yeye kwenda kuhutubia, kama watu wanamkubali watamdhamini tu.
 
Walikuja Airport kwa mbwembwe police na wana habari wakakausha tu wakaanza kampeni kwa kisingizio. Cha kutafuta wazamini huku wakihubiri chuki police na wana habari wakauchuna sasa wameona vyote vimebuma sasa wameanza kutengeneza move yao.
 
Hilo ni jambo linaloweza kutokea popote haijalishi ni kiongozi yupo madarakani, Kuna mambo mengine ambayo binaadam hanq uwezo wa kuyazuia yasitokee kama Vurugu na vitu vingine vingi
Kwa nini iwe Hai tuuu??
 
Kwani mgombea wa Chadema anasindikizwa na Mapadre na mashehe? tumechoka malalamishi Lema.Tulitaka kusikia vijana wachadema wawavunja vunja shingo wasiojulikana baada ya kuvamia msafara.Tumechoka malalamishi.
 
Na kweli huu upumbavu wenu mwisho 28 Oktoba. Ndo maana mnaitwa nyumbu, hamuwezi hata kujiongeza. Haya matukio ni ya kutengeneza na yanaratibiwa na yule mvuta bangi mwizi wa zamani wa magari wa Arusha.
 
Unyonge umepitiliza, inamaana wameshindwa kujibu mashambulizi?.
Wanawatafutia sababu, Wakijibu tu, Kesho utamskia IGP, utamsikia Msajili wa Vyama vya Siasa, utamsikia Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, utamsikia Waziri wa mambo ya ndani....

Na unaweza kuhisi kila mtu atazungumza nini!!!
 
Lengo ni kuwafanya wenye magari yao waogope kushiriki msafara wa TAL

Kama Ni hivyo wamesha feli... Yapo Yale magari ya M4C

..hiyo inaitwa provocation.

..mkijibu tu imekula kwenu.

..umebaki muda mfupi sana tuende kwenye uchaguzi.

..VUMILIENI.

Huko sahihi ushauri wako una mantiki Sana...

Ila ipo siku itakua jino kwa jino au watalazimisha mbinu za kivita zitumike...

Yajayo yanasikitisha...
 
Poleni changeni karata zenu vizuri.
 
CCM inapumulia mashine, Nguvu iliyobaki ni kutumia nguvu ya Polisi. Mwaka huu polisi nao watakaa pembeni.
Na kweli huu upumbavu wenu mwisho 28 Oktoba. Ndo maana mnaitwa nyumbu, hamuwezi hata kujiongeza. Haya matukio ni ya kutengeneza na yanaratibiwa na yule mvuta bangi mwizi wa zamani wa magari wa Arusha.
 
Mlitaka polisi wafanyeje na wakati yeye mwenyewe amesema POLISI WANATETEMEKA WAKIMUONA
 
Lema si ndie mratibu mkuu wa hizo fujo na kuchomwa kwa Offisi ya chadema Arusha. Hii yote ni mbinu ya kutafuta huruma na kura. Waongo nyie, hatuta sahau mlipojilipua Arusha, mkasema mnazo kanda za video na mtazitoa kama ushahidi. Leo ni miaka karibu saba hamjazitoa, mnaona waliokufa na kuumia kwenye lile tukio lenu hawana thamani.

Tunasubiri tuone nia yenu kwa Lissu, tunajua mshajipanga kuwaunga mkono ACT lakini sio Lissu
 
Aiseeeeee
 
J.P.M lazima ashinde uchaguzi kwa kuwa anakubalika mjini na vijijini ila hawa wanaofanya vurungu wanabidi wakamatwe haraka maana nia yao ni kutia Dosari ushindi wa Raisi J.P.M
Wanajitekenya wenyewe tu kutafuta political sympathy,kama wanakunywa Faru John inawazid uwezo halafu mtu anaanguka na kuumia mguu anakuja na hoja ya kwamba amevamiwa we hujajua hilo!
 
Dc Huko Hai.anataka kulikomboa Jimbo kwa njia ya kupiga mawe wapinzani.Hali hii ukiendelea 2025 walio wengi wataifanya CCM kuwa KANU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…