Hana hoja huyo,Msaada wake ni Vyombo vya dola,bila hivyo ni mwepesi kuliko unyoyaMnajishaua tu kama matambara ya deki, Mzee Magu anasubiri kuapishwa tu, hiyo midahalo Lissu afanye na akina Katambi siyo Magufuli maana huyo ni next lavel
Kuna kajamaa kameuawa tayari.Hivi CHADEMA wanashindwa kujibu napigo hapo wakamchomoa hata mtu mmoja jicho?
Na wao waache ulegelege
nadhan kule hai yule dc wamemvimbisha sana kichwa, alivuruga mkutano wa mbowe na leo karudia!Hii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.
Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.
Ashughulikiwe huyu mtu ana dharau sana.Sabaya katuma squad yake, ole wako sabaya saa yako ya taabu yaja ambapo utalia na kusaga meno kwa uovu wako uutendao sasa.
Kuna tetesi kuwa kuna mwenzenu mmoja kakumbana na hasira za wananchi katangulizwa, ndiyo muwache kimbelembele
Wee ni mzima kweli au mwendawazimu?Mnaanzisha Vurugu hata kabla ya Kampeni CHADEMA Uhuni mnataacha Lini?
Mkuu amani ni jambo muhimu. Sisemi hao wawe waoga lakini kuna nmna bora zaidi ya kuchukia uonevu.Chadema miaka yote ni watu wa kulia kulia tu wkt ni dhahiri hua wanahujumiwa Sugu amedakwa kizembe tu,ofisi Arusha imechomwa moto,Lissu msafara wake umeshambuliwa na hapo utaishia kusikia Mbowe akisema nakemea tukio hili sisi ni watu wa amani halafu ndio imeishia hapo.
Sasa nasema mpigwe tu mpk siku mtakapochoka na busara/upole wa Mbowe na kuamua kuchukua hatua za kupambana na uonevu mnaofanyiwa kila siku.
Watu wamechoka kejeli za Lisu
Kushikwa pabaya kwa jambo lipi? Labda kama kwa huu ugaidi mlioanza kuufanya. Walioshindwa kumuua ni hao viongozi wenu wenyewe, na kwasbbu wanajua anapenda sifa ndo maana wamempoza kwa kumpa agombee urais.Safari hii mmeshikwa pabaya,Huyu ndio Kiboko ya Jiwe,Mlishindwa kumuua sasa basi mtamtisha na nini tena.
Hoja za mapambio kwa jiwe hazipo, watafute NCCRHapana CHADEMA mmekuwa na shida kiasi. Siasa zenu zimekuwa za kutafuta umaarufu badala ya kuweka hoja mbele.
Hii nchi imeingia kwenye siasa za kihuni na za hovyo sana.Kinachonisikitisha ni kwamba tunaona maandamano yakitembea na Lissu pamoja na walinzi, hivi walishinda kweli kuwazuia au kuwapa kichapo hao walioleta vurugu??
Duuh kama ni hivi kweli kura zitalindwa?? Aibuu
Hamna walinzi pale mkuu!Kinachonisikitisha ni kwamba tunaona maandamano yakitembea na Lissu pamoja na walinzi, hivi walishinda kweli kuwazuia au kuwapa kichapo hao walioleta vurugu??
Duuh kama ni hivi kweli kura zitalindwa?? Aibuu
Nimesoma sehemu kuwa Wananchi wamemuua mtu mmoja miongoni mwa Wasababishaji wa Vurugu...Kinachonisikitisha ni kwamba tunaona maandamano yakitembea na Lissu pamoja na walinzi, hivi walishinda kweli kuwazuia au kuwapa kichapo hao walioleta vurugu??
Duuh kama ni hivi kweli kura zitalindwa?? Aibuu
Lugha za LijualikaliNa ni mpango wa wanasaccos. Kwanini Hai ndiyo itokee??
Serikali yako ya CCM na vyombo vyoye vya ulinzi na usalama vinajua hili?Kushikwa pabaya kwa jambo lipi? Labda kama kwa huu ugaidi mlioanza kuufanya. Walioshindwa kumuua ni hao viongozi wenu wenyewe, na kwasbbu wanajua anapenda sifa ndo maana wamempoza kwa kumpa agombee urais.