Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Wahusika na mihofu yenu ndio mnajua na bado mtahangaika sana
Wachaga lazima mfikirie zaidi mtu anatoka huko Singida anakuja kusababisha fujo huko kwenu kwanini fujo aikutokea Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Simiyu, Mara, Arusha fujo ije ifanyike Hai, Kilimanjaro?? Muuane kwa sababu ya huyo Mbelgiji alitumwa na wazungu kuleta fujo ndiyo maana familia yake ameiacha Ubelgiji kikinuka akimbilie huko kupitia Kenya!!
 

Historia ya Hai inajieleza hata mtoto wa Kindergaten analijua hilo na ni nani mhusika. Jishangae wewe unayeshangaza watu.

Wateule wa taasisi ya urais wanapoharibu basi taasisi nayo inakuwa na doa
 
Mkoa wa Kilimanjaro ni wa watu wenye akili na wastaarabu. Vyama visiwasababishe wakubali upumbavu.
Ni lazima hao wapuuzi wachache washughulikiwe bila kujali chama.
Kilimanjaro vyama vyote viwe huru kufanya siasa na wananchi wote washiriki siasa kama ndugu.
Huu upumbavu wa fujo usikubalike.
Wahuni siyo sehemu ya wananchi wa Kilimanjaro.
Heshima ya Kilimanjaro ni ya Ulimwenguni pote. Ilindwe kwa gharama yoyote bila kujali vyama.
 
Kauli ya "sasa basi" inaanza lini? Me naona sasa ndio muda wa kuondoa unyonge na kulalamika.
 
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kuhubiri chuki majukwaani naona ameanza kuonja ladha ya adha anayaihubiri,apeleke ubeligiji hizo chuki zake, sisi tuko pamoja na jpm,na bado ataionja shubiri zaidi na zaidi

AISEE SIO KWA MASHAMBULIZI HAYA WANALUMUMBA WENZANGU. VIPI DAU LIMEPANDA NI NINI?

AU YULE DC MWENYE KIBURI CHA UZIMA NAYE ANA-OUTSOURCE FUND ZAKE.



Nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko.

Leo mwenyekiti wangu akiwa na Maaskofu wa TAG mjini Dodoma ameongea kwa hekima sana tena sana.

Tena leo kakiri kuuona uwepo wa Mungu kwenye ukumbi...namuombea huo uwepo wa Mungu uandamane na auambukize kwa wasaidizi wake wote
 
Msaliti Lissu ameshawavuruga wachagga wameanza kutandikana wakati msingida ametoka kwao bila fujo na familia yake ameiacha Ubelgiji.
 
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kuhubiri chuki majukwaani naona ameanza kuonja ladha ya adha anayaihubiri,apeleke ubeligiji hizo chuki zake, sisi tuko pamoja na jpm,na bado ataionja shubiri zaidi na zaidi
Aliyezuia wapinzani wasifanye siasa miaka 5 kinyume na katiba ya nchi ndiyo kinara wa kuleta chuki
 
Hao vibaka usikute ni vijana watiifu wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…