LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Hapo ukichambua huwezi mkosa mkuu wa wilaya ya hai.ushauri wangu chadema msiwe mabwege, mlie wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kama unyonge huu utaendelea ni bora kuacha hata hizo kampeni, haina sababuUnyonge umepitiliza, inamaana wameshindwa kujibu mashambulizi?.
Baba ako anakula kupitia CCM sio kosa lakoBaada ya kuzunguka kote sasa mmeanza chochoko ili tu mvuruge uchaguzi.
CHADEMA mtaishia matukio tu lakini ikulu hamtaiona. Bahati mbaya hamjuo CCM ndio iko madarakani na ina intelijensia yote.
Mkifanyiana unyama mkikamatwa iwe kiki..mwendo wa kuwachungulia tu na kuwapuuuza.
Afu mnataka vyombo vya habari viwatangaze na upuuzi huu?
Hatutaishi milele sifa ya mtu kufa sometimes inatakiwa mmoja uumie ili wengine wapate ukombozi CCM haina tofauti na ukoloni.Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kuhubiri chuki majukwaani naona ameanza kuonja ladha ya adha anayaihubiri,apeleke ubeligiji hizo chuki zake, sisi tuko pamoja na jpm,na bado ataionja shubiri zaidi na zaidi
Siku mkutano wa Jpm utakapopigwa mawe utaona faida yakeHuyu jamaa amekuwa bingwa wa kuhubiri chuki majukwaani naona ameanza kuonja ladha ya adha anayaihubiri,apeleke ubeligiji hizo chuki zake, sisi tuko pamoja na jpm,na bado ataionja shubiri zaidi na zaidi
Karma is bitchSikh mkutano was Jpm utakapopigwa mawe utaona faida yake
Magufuli hapendi kabisa haya matukio ya kihuni dhidi ya wapinzaniWakamatwe na nani wakati anaetakiwa kuwakamata ndio amewatuma kushambulia
Umefika level ipi kielimu ?Sasa Wameshambuliwa Na Nani
Mbona Habari Hujaivisha Nguo Ikaeleweka
Ofisi Imechomwa Usiku Wewe Unasema Saa Hizi
Kuikwamua nchi kutoka kwa wala na watoa rushwa si kazi rahisiYaani magari tu ndo yanaharibiwa!
WWatu wote wako salama!
Amechokoza were, ameona hajibiwi ,Sasa ameamua kujifanyia usanii!
Jana ofisi ilichomwa, mafaili yakaungua, mlinzi akakimbia akaacha bunduki!
Hiyo ndiyo chadema
Unamaanisha jeshi letu la polisi ni dhaifu hadi limeshindwa kumdhibiti Mbowe ?Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!
Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli.
Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?
Kama hii ishu ni kweli Mbowe ajitathimini mana atakua ameandaa hayo magenge nyumbani kwekwe. Hakiwezekani ngome ya Chama itekwe na wahuni na vibaka na kumsumbulia Mgombea urais. Aibu kubwa kwa Mbowe wala si vinginevyo.
Wewe unaota za asubuhi jambo ambalo ni hatari kwako na litasababisha uwe kibaka maana watu asubuhi wanatakiwa kuwa kaziniEndelea kuota ndoto za mchana
Lengo ni kuwafanya wenye magari yao waogope kushiriki msafara wa TAL
Natetemeka kwa hasira. Ngoja nikae kimyaAliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai
Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame haribiwa. Mgombea Uraisi na Team yake wako salama. Polisi wako lakini wana shuhudia, mkutano umevunjika. Taarifa kamili kuwajia"
Utanyooka tu angalia hapa chini wananchi wakimkataa mwenyekiti wenu wa maisha.Wewe hata ukini quote hunipati maana nilisha kupiga ban
Yaonekana wewe ndie uliepanga na kutekeleza fujo hizo huko Hai.Wachaga lazima mfikirie zaidi mtu anatoka huko Singida anakuja kusababisha fujo huko kwenu kwanini fujo aikutokea Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Simiyu, Mara, Arusha fujo ije ifanyike Hai, Kilimanjaro?? Muuane kwa sababu ya huyo Mbelgiji alitumwa na wazungu kuleta fujo ndiyo maana familia yake ameiacha Ubelgiji kikinuka akimbilie huko kupitia Kenya!!
Hakuna mtu mwenye hath miliki na tanzaniaWazo murua
Angalia hapa chini wanahai wasivyomtaka huyo Faru John.Yaonekana wewe ndie uliepanga na kutekeleza fujo hizo huko Hai.
Lakini unapoteza muda wako na wa kikundi chako bure, baada ya kufilisika hoja.
Huu ni mtiririko wa njama zenu za kitoto kwa zaidi ya miaka minne, lakini zimeshindwa na hazitakuja fanikiwa kubadilisha mvuto kutoka mioyoni kwa Lissu, Mbowe wala Upinzani wa kweli.
Hayo ni mateke ya punda anaeishiwa UHAI.
AMEN
Upo sahihi kabisaHakuna mtu mwenye hath miliki na tanzania
Mate yatakukauka bure.Msaliti Lissu ameshawavuruga wachagga wameanza kutandikana wakati msingida ametoka kwao bila fujo na familia yake ameiacha Ubelgiji.