Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hayo mambo ya barua ya nini kama haki ya watu haichezewi ?!. Mara ni kanda maalumu ya fujo. Lakini udhamini umeenda bila vurugu iweje hai kwa Sabaya ?!. Mmefanya siasa miaka mitano mfululizo hukuona fujo za wana Cdm . Wao kutafuta tu wadhamini hamtaki ?!S
Sawa Mkuu Wangu...
Yatadhihirika tu,kuwa hayo Ni Maigizo...
Hizo ni SETUPS TU ili Nganga Itimie...
Zile BARUA Za Hague SI ndio Preamble....
Ccm mpya wajinga sanaKweli !?..na DC analindwa na mabeberu.?..huu Ni ujinga ,haya mawazo kuwa mabeberu wanaichukia nchi yetu Ni upumbavu!
Hivi sio wao ndio tunasema wameitangaza Tz kuwa Uchumi wake unapaa, mbona hatukutaa !
Dhana ya Ubeberu ilikuwa inatumika na nchi za Kijamaa ,kushambulia Nchi za Magharibi...tuliimbishwa wimbo huu bila kutafakari!
Hivi hujui kuwa kabla ya February 1990 Makaburu walikuwa Mabeberu....baaada ya hapo wakawa Wawekezaji!?
Hata aliye ufufua huu msemo/Dhana ukimwambia andika sentensi 2 kuhusu maana ya Ubeberu hawezi na haelewi!
But ikumbukwe kuwa OCD nae anahusika kwenye hilo tukioNimejibu Hapo Juu....
Hao ni VIBARAKALA waliotumwa kumchafua Sabaya na Serikali yaani Ni sawa na kipindi kile US ilipoandaa yenyewe shambulizi Kwa Meli Yake Iliokuwa GUANTANAMO halafu AKASINGIZIWA Marehemu Fidel Castro na Cuba....
Hilo Ni igizo Mkuu wangu....it's blatant Deception...
Mimi SI Sabaya na Kama Ni Utumbo Andaa Ndizi Ujinome...WEWE NDO sabaya Eti unaandika utumbo gani Vijana wa Lumumba wajinga sana !.Hasara amekula mzazi wako
Wapangaji Wanaweza Kumtumia Yeyote.....But ikumbukwe kuwa OCD nae anahusika kwenye hilo tukio
Ndio siasa,vumilieni!Upinge kwa hoja na pia kwa kujenga, na sio kwa kubomoa
Hao wanapinga kwa kubomoa pia kwa kuchonganisha kwa uongo.
Na huenda hata wasilipwe wakadhulumiwa wapuuzi Sana hawa vijana wenzetu.Mapapa kvp akati mmoja wa hao vijana ameshasema kuwa, walitumwa na DC pamoja na OCD na waliahidiwa kulipwa elfu 20 kila mtu...
NB:Yani mtu unaamua kurisk maisha yako kisa elfu 20 kwelii
Nakunga mkono mkuu huu ni mda wa kushikamana tusiseme vijana wamehogwa wala nini. kipindi hiki ndo kipindi cha watu kuchomwa sindano za sumu na zenye maumivu makali.The Weapons From Brussels Have Been Aimed To Disintegrate The Awesome Nation......
Achana na Yule Smith,Wale Mazwazwa Watatu,Arvinder Deepel,Marcus McManon Na Mchora VIBARAKALA wa Afrika Kwa Zama Hizi Bwana JohΓ±son Stielenger Walimsaidia Sana Jamaa Yetu Pale Brussels.....
I Smell Something Savage Being Orchestrated Behind Those Letters Written To Tanzania......
MABEBERU ni watu wabaya Sana......Tanzania Ni kisiwa Cha Amani...Msumbiji Kimewaka....Wale Magaidi Waliofurumushwa Kule Kibiti Na Kujikita Mosimboa Da Praia Jimboni Cabo Delgado,Masalia Yao Yameanza Kuichafua Serikali Ya CCM ionekane inawashambulia WAPINZANI...Yaani totally ridiculous!!!
Hiki Ni KIPINDI Cha kushikana Kama TAIFA,wabaya wetu wanataka kutuchangia then BARUA ILIYOANDIKWA ITIMIE.....
Kataa Vurugu
Kataa Propaganda Chafu
Kataa Hila Za MABEBERU
Kataa Mipango Ya Kuichoma Nchi Yako Pendwa
Usikubali Kuingizwa Mtegoni na wanasiasa wachumia tumbo
Hatuna Pa Kukimbilia.
Mungu Wetu Atatushindia Hila Mbaya Na Husuda Zinazotoka Nje Ya Taifa Letu Adhimu,Aaaamin Aaaamin Aaaamin.
Hao ni Mapandikizi tu...Na huenda hata wasilipwe wakadhulumiwa wapuuzi Sana hawa vijana wenzetu.
Lissu na zitto Ni wapinzani
Kazi Yap ni kupinga
Unataka wafanye kzi gani tofauti na hiyo?
Wakianza kuunga mkono tutawauliza kuna haja gani ya wao kuwa wapinzani?
Una uhakika walikuwa na hizo silaha au umekaririshwa na hao jamaa zako?Fikiri, sehemu zote walikopita hakukuwa na mapanga na marungu ila wakayabeba hai? Kwann? Njia ya mwongo in fupi, kama wanahubirj raisi hajafanya kitu na vitu vinaonekana kuanzisha vita si suluhu. Tuwe makini na hii amani.
Ndio uende kuwakataa kwenye sanduku la kura!Unaanza Kuupinga Mradi halafu Mabwana Wa Nje Wanaongezea Frequency Ya Kupinga...huku Wakiwa Ni marafiki Kindakindaki Wa CHAMA CHENU....then Unapata bahati Mbaya Unapelekwa Karibu na Huko....Bado Wanaendelea Kuupinga Mradi....Unapona na Kuanza Kuzunguka Kwao na KUENDELEA KUUPINGA NA WAO WANAKUSAIDIA KUONGEZA frequency.....
Mmmh smth FISHING......
ππππππNakunga mkono mkuu huu ni mda wa kushikamana tusiseme vijana wamehogwa wala nini. kipindi hiki ndo kipindi cha watu kuchomwa sindano za sumu na zenye maumivu makali.
Africa hakuna upinzani wa kweli hata kidogo, vyama vingi vya upinzani huwa vina pata Good support kutoka kwa MABEBERU na muda mwingine wapinzani kutumia ufinyu wa mawazo ya wananchi kama mtaji wa kuonekana kuwa wanaonewa na serikali iliyo madarakani
Tushikamane wote kwa pamoja kulijenga taifa letu. Wagombea wote watowe hoja za kujenga na si kubomowa, penye kukosowa wakosowe na kusema nini kifanyike kuepuka hayo makosa penye kupongeza papongezwe na si kutukanana majukwani.
Vijana waliopandikizwa wanaweza kufanya fujo mbele ya polisi na wakaachwa tu waendelee kuleta fujo? Hivyo ndivyo akili yako inakutuma?Vi
Vijana Mmewapandikiza Wenyewe Hao...
Ni igizo tu ili Ngoma Inoge...
Mmefanya siasa kwa miaka mitano peke yenu hakuna aliyewafanyia fujo acheni na wenzenu wafanye siasa kama hammpendi mtu mkataeni kwenye uchaguzi na sio kumponda mawe.
Mnapofanya fujo mnamharibia mgombea wa CCM na si mgombea wa Chadema, watanzania ni wastaarabu na wapole kadri mnavyofanya fujo ndivyo mnavyojipunguzia kura za wastaarabu.
Vijana waliopandikizwa wanaweza kufanya fujo mbele ya polisi na wakaachwa tu waendelee kuleta fujo? Hivyo ndivyo akili yako inakutuma?
Mpaka waandishi wa Jamvi la habari waliitwa ili kusambaza hili tukioHii clip inaonyesha dhahiri kwamba the whole game was fabricated.
Wakisema hamjafanya kitu ni kazi yenu kuwambia watu mmefanya, lakini pia watu wakiona mlichokifanya moja kwa moja watawapuuza wanaosema hamjafanya kitu maana tayari wanaona kwa macho yao.Ndio siasa,vumilieni!
Hata mimi naamini hivyo na hata Lissu mwenyewe alilisema hilo kisheria...