Nimeona hata Hussein Mwinyi kama kisha pewa ulinzi.Nakumbuka Magu alipopitishwa na CCM 2015 ilioneshwa live nyymbani kwake kuna ulinzi wa askari wanemwagwa wakati huo. Hayo mambo ya kupitishwa na tume labda yamekuja mwaka huu.
Fikirisha akili. unamaana wale vijana walitumwa na Chadema wakishirikiana na DC na OCD? Basi aliyewateua ni mpumbavu.Ccm wasiwafanyie fujo safari yote ya mikoani, ila waje wawafanyie fujo kwenye ngome yenu kuu, na kumichomea Offisi.
Lissu kalizungumzia fujo zitakazo tokea Hai akiwa Arusha, kama mlikuwa na habari kabla, jee mliripoti polisi, kwa nini halikutangazwa na kupigiwa kelele na wanasiasa wenu kama kawaida yenu na kulikashifu lijulikane nchi nzima, ila mumengoja mpaka litokee. Ina maanisha mumelitayarisha wenyewe na mnalitumia kuwa Hadaa watanzania.
Ccm wasichome ofisi mikoa yote mengine ila Arusha, tena anapokuja LISSU baada ya miaka 3 kuwa matibabuni na kuoewa ugombea Uraisi. How pathetic and foolish.
Bob Marley alisema " YOU CAN FOOL THE PEOPLE SOME OF THE TIME BUT NOT ALL THE TIME"
Zakuambiwa changanya na zako.
Kwa usawa huu wa Makofuli,vijana wa ccm walilipwa 20,000/ ni hela kubwa kwa watu wa vijijini.The Weapons From Brussels Have Been Aimed To Disintegrate The Awesome Nation......
Achana na Yule Smith,Wale Mazwazwa Watatu,Arvinder Deepel,Marcus McManon Na Mchora VIBARAKALA wa Afrika Kwa Zama Hizi Bwana Johñson Stielenger Walimsaidia Sana Jamaa Yetu Pale Brussels.....
I Smell Something Savage Being Orchestrated Behind Those Letters Written To Tanzania......
MABEBERU ni watu wabaya Sana......Tanzania Ni kisiwa Cha Amani...Msumbiji Kimewaka....Wale Magaidi Waliofurumushwa Kule Kibiti Na Kujikita Mosimboa Da Praia Jimboni Cabo Delgado,Masalia Yao Yameanza Kuichafua Serikali Ya CCM ionekane inawashambulia WAPINZANI...Yaani totally ridiculous!!!
Hiki Ni KIPINDI Cha kushikana Kama TAIFA,wabaya wetu wanataka kutuchangia then BARUA ILIYOANDIKWA ITIMIE.....
Kataa Vurugu
Kataa Propaganda Chafu
Kataa Hila Za MABEBERU
Kataa Mipango Ya Kuichoma Nchi Yako Pendwa
Usikubali Kuingizwa Mtegoni na wanasiasa wachumia tumbo
Hatuna Pa Kukimbilia.
Mungu Wetu Atatushindia Hila Mbaya Na Husuda Zinazotoka Nje Ya Taifa Letu Adhimu,Aaaamin Aaaamin Aaaamin.
Wewe mwenyewe inaonekana una AKIRI nyingi sana,,na uelewa mdogo ama akili ndogo sana.Na nyie mapanga na mawe, rungu mlikuwa nazo za nini?
Pale kulikuwa na vita?
Hao vijana wamefundishwa uelewa,
Huwezi kumwambia mtu mwenye akiri yake kuwa hakuna kilichofanyika wakati macho anayo na anaona mwenyewe.
Matokeo yake ndo hayo
Watu wanachoka na uongo na uchonganishi.
Lakini kumbuka mmoja wao ameuwawa kwa taarifa iliyopo.Baada ya kuzunguka kote sasa mmeanza chochoko ili tu mvuruge uchaguzi.
CHADEMA mtaishia matukio tu lakini ikulu hamtaiona. Bahati mbaya hamjuo CCM ndio iko madarakani na ina intelijensia yote.
Mkifanyiana unyama mkikamatwa iwe kiki..mwendo wa kuwachungulia tu na kuwapuuuza.
Afu mnataka vyombo vya habari viwatangaze na upuuzi huu?
Ss ukumbuke pia mmojawenu ameuwawa palele,kajiua mwenyewe au?Mnaanzisha Vurugu hata kabla ya Kampeni CHADEMA Uhuni mnataacha Lini?
Hajafa mtu. Hiyo taarifa ipuuze.Lakini kumbuka mmoja wao ameuwawa kwa taarifa iliyopo.
Bora apigwe Risasi kuliko wewe unayeolewa na SabayaEndelea kumwamini Mbowe mpaka siku atakayokupiga risasi ya ta.ko
Safi sana, na hii inaonesha jinsi anavyochukiwa na watanzania, pumzi inakata mapema mnoAliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai...
Anazidi kuona kuwa mvuto wa hayo madaraja, midege etc kwa ukweli haupo kiivyo, huko vijijini (nje ya Dar) kwa wanyongeJPM mpumbavu sana, kama amejenga madaraja na kufanya mambo mengi mazuri ana hofu ya nini?
Si ndio nyie wenyewe mlikuwa huko.Angalia hapa chini wanahai wasivyomtaka huyo Faru John.
View attachment 1537266
Hilo sio kanisa ndugu. Ni kikundi tu cha wahuni ná wafanyabiashara wa dini!!!Jana mliunga juhudi kama ishala ya uzalendo. Basi kemea na hili la wahuni kuupiga mawe mkutano wa Tundu Lisu. Hakika kama nchi hii ikichafuka, hata hao waumni kanisani hawatapata muda wa kuja. Mtakosa hcho mnacho kitafuta! Kemea maovu!
1. Kupotezwa watu
2. Kuuawa akina mawazo, Ben, etc etc
3. Maiti coco beach
4. Watu kubambikiwa kesi
5. Watu kufungwa bila kupelekwa mahakamani
6. Compromised judiciary
7. Toothless parliament
Hayo yote ni MAOVU YAKEMEENI
Usingekuwa huko unakaririshwa na akina ChakuUelewa wangu ni mara 1000 zaidi ukilinganisha na wako!