Ccm wasiwafanyie fujo safari yote ya mikoani, ila waje wawafanyie fujo kwenye ngome yenu kuu, na kumichomea Offisi.
Lissu kalizungumzia fujo zitakazo tokea Hai akiwa Arusha, kama mlikuwa na habari kabla, jee mliripoti polisi, kwa nini halikutangazwa na kupigiwa kelele na wanasiasa wenu kama kawaida yenu na kulikashifu lijulikane nchi nzima, ila mumengoja mpaka litokee. Ina maanisha mumelitayarisha wenyewe na mnalitumia kuwa Hadaa watanzania.
Ccm wasichome ofisi mikoa yote mengine ila Arusha, tena anapokuja LISSU baada ya miaka 3 kuwa matibabuni na kuoewa ugombea Uraisi. How pathetic and foolish.
Bob Marley alisema " YOU CAN FOOL THE PEOPLE SOME OF THE TIME BUT NOT ALL THE TIME"
Zakuambiwa changanya na zako.