Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
na hii je ?Hopeless thread ever!!
Magufuli, Mwakyembe wote waliwahi kujidhuru, huko Lumumba nakoMangula nae atakua ameiga chadema tabia ya kujidhuru sio?
Ile sumu vipi alipona?
We shall overcomeNimekutana na hii huko mtandaoni:
Tunaendelea kusikiliza kama ZILIPENDWAAlitaka kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mbowe akataka kumfanyia kama Chacha Wangwe
Walijiandaa sana..baadhi ya watu waliokuwepo eneo la tukio.
Hadi hivyo vyuma alivyowekea pajani vitachomoka! Daktari wake alimshauri aendelee na mapumziko huko huko ubeligiji akifanya mazoezi kidogo kidogo under close medical supervision. Yeye akakaidi na kuja huku kusaka urais wa nchi yetu kwa ushauri na ufadhili wa hao mabeberu wake.Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kuhubiri chuki majukwaani naona ameanza kuonja ladha ya adha anayaihubiri,apeleke ubeligiji hizo chuki zake, sisi tuko pamoja na jpm,na bado ataionja shubiri zaidi na zaidi
Wapigwe tu,wametuchosha na ujinga waoAliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai...
Wewe unaumia nini mimi nikimwamini?Endelea kumwamini Mbowe mpaka siku atakayokupiga risasi ya ta.ko
Hapo aliekata pumzi ni yule anaevamia shughuli za washindani wake.Safi sana, na hii inaonesha jinsi anavyochukiwa na watanzania, pumzi inakata mapema mno
Mtokambali alitia aibu sana huyu askofu. Mtu ana PhD ila anaongea kama mtoto wa darasa la pili.Tusipangiane cha kuongea, unaongea kinachokufaa kulingana na wakati! Mbore
sure.Yaani kama unyonge huu utaendelea ni bora kuacha hata hizo kampeni, haina sababu