Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Hakuna tume huru ya uchaguzi,mikutano ya hadhara ya wanasiasa wa vyama vya upinzani ilikatazwa,watu wamepotea bila majibu ya kuridhisha baadhi ya wananchi, watu wamekufa vifo tatanishi,watu wamepigwa risasi na hakuna aliyekamatwa na kadhalika na kadhalika.
Kinachofuata ninini?
 
Tusipangiane cha kuongea, unaongea kinachokufaa kulingana na wakati! Mnabore
 
Ole sabaya iko siku utatamani ardhi ipasuke ikumeze! Upanga unaoandalia wenzio kila uchao ipo siku utaukalia wewe! Muda ni mwalimu mzuri sana! bali kumbuka kuwa siku zaja itakuwa ni 'jino kwa jino'
 
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kuhubiri chuki majukwaani naona ameanza kuonja ladha ya adha anayaihubiri,apeleke ubeligiji hizo chuki zake, sisi tuko pamoja na jpm,na bado ataionja shubiri zaidi na zaidi
Hadi hivyo vyuma alivyowekea pajani vitachomoka! Daktari wake alimshauri aendelee na mapumziko huko huko ubeligiji akifanya mazoezi kidogo kidogo under close medical supervision. Yeye akakaidi na kuja huku kusaka urais wa nchi yetu kwa ushauri na ufadhili wa hao mabeberu wake.
 
Yaani magari ya Chadema yameharibiwa vibaya sana ulaaaaa ...... YANATEMBEA YAKISINDIKIZWA kwa kejeli.
 
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai...
Wapigwe tu,wametuchosha na ujinga wao
 
Bila kukomesha mbio za Mwenge hapo nchini kwenu mtalia sana. ukisha vuta Moshi wa Mwenge unakuwa km zeeta tu mbele ya Chama letu pendwa nimeshirikisana kukimbiza Mwenge najua yanayo jili!
 
Yule aliyekuwa anaomba kuombewa kila kukicha bila shaka ndivyo anavyopenda hali ya mambo iwe hivi. Shetani mkubwa huyo.
 
Back
Top Bottom