Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 710
- 289
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa mkono wa chuma, hizo elfu saba saba mnazolipwa ili kujenga taswira ya mkulu kukubalika ni kwaajili ya njaa ya muda mfupi tu.Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!
Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli..
Inahusika nini sasa kwenye mada hii?na hii je ?
Kwi Kwi KwiInahusika nini sasa kwenye mada hii?
wajasiliadiniHilo sio kanisa ndugu. Ni kikundi tu cha wahuni ná wafanyabiashara wa dini!!!
WAKIFANYA TU HIVYO WATABAMBIKIWA KESI KAMA YA AKWILINAHivi CHADEMA wanashindwa kujibu napigo hapo wakamchomoa hata mtu mmoja jicho?
Na wao waache ulegelege
Na hivyo ndivyo ilivyo, lakini tumeona mengi katika awamu hii namna mambo ya kikatiba na sheria yanavyo pelekwa.Kuhusu Ulinzi kwa Wagombea ni takwa la Kisheria si Maamuzi ya IGP.
Kama n kweli huo ulikuwa ni mpango wa kumchafua DC, basi master mind wa huo mpango hajatumia akili,, coz hapo hamjamchafua DC Bali mmeichafua Serikali ya ccm kiujumla, kwasabu hata huyo DC amewekwa hapo na serikali ya ccmWa
Wapangaji Wanaweza Kumtumia Yeyote.....