Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!

Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli..
Ndugu zangu tuungane ili kuutokomeza huu utawala wa mkono wa chuma, hizo elfu saba saba mnazolipwa ili kujenga taswira ya mkulu kukubalika ni kwaajili ya njaa ya muda mfupi tu.

Mwalimu Nyerere aliwaita viongozi wa namna hii washenzi na wendawazimu, hebu tumuheshimu na kumuenzi Mwalimu kwa kuachana na watawala wanaotumia mabavu badala ya hekima na busara.

Tusihadaike na utapeli na ulaghai mpya wa CCM, Saa ya ukombozi ni sasa
 
Wa
Wapangaji Wanaweza Kumtumia Yeyote.....
Kama n kweli huo ulikuwa ni mpango wa kumchafua DC, basi master mind wa huo mpango hajatumia akili,, coz hapo hamjamchafua DC Bali mmeichafua Serikali ya ccm kiujumla, kwasabu hata huyo DC amewekwa hapo na serikali ya ccm
 
Watanzania if you have nothing to to lose ni bora ukae kimya ila if you have something to lose usikae kimya amani sio kutopigana makonde mnaweza kupigana makonde na ukabaki na amani vilevile.
 
Back
Top Bottom