Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

Ninachojua ni kwamba kila nafsi itaonja mauti, either kwa kutabiriwa au bila kutabiriwa. Kwanini unakamata wanaotoa unabii? Yeye kaoneshwa mambo katika ulimwengu wa roho, kwamba uache kiburi cha uzima, majigambo, na kudhani wewe ni Mungu, vinginevyo utakufa kabla ya muda wako. Kama hutaki kufa kabla ya muda wako fanyia kazi hayo yaliyoelezwa. Jishushe, acha kiburi cha uzima, heshimu kila mtu, acha kujitwika mamlaka ya kiungu, usinyanyase wasio na hatia, usitafute sifa kwa kusema uongo, boresha maisha ya kiuchumi ya watu wako. Nabii hawa hauawi. Yeye kashatoa unabii wake. Kumfunga au kutomfunga haibadilishi unabii huo.!
 
Ujumbe wa kauli ya Lema mbona uko wazi....kwamba Rais asipobadilika atakufa, period!
 
Wewe unajuaje kama hayuko karibu na Mungu? Au unafikiri ofisi ya Mungu iko pale Magogoni? Mungu yupo kila mahali hata huko mahabusu yupo.
Ni Heshima Zaidi Kwa mungu Kumtukana Na Kumzomea Fisadi Lowassa - godbles Lema
 
Wana Arusha Tunamvumilia Kwa Sababu Tu Za Kikabila Na Kikanda, Vingievyo Angekuwa Mtu Wa Tarime Tungeshamtimua Kitambo

Umeongea ukweli ambao hawataki uuseme.
Safi kabisa,
 
Lema kama Lema anatakiwa kujitazama upya katika eneo la kisiasa na kuepuka kuchanganya siasa na dini.Ili aweze kufanikiwa shule itahitajika sana tena sana.
 
Nyie mnaichukulia hiyo kauli juu juu, ila wajuvi wa mambo hii kauli imekuwepo kwa wanachama mfu siku nyingi. Yaani inaonekana ninyi chama mfu mnapanga kumuua rais wetu na ndiyo maana lazima mushugulikiwe, na rais hamuwezi kumuua kwa sababu analindwa na Mungu mkuu!
 
Kwani shida iko wapi? Kama ni unabii si utatimia? Let's just wait and see
 
Ujumbe wa kauli ya Lema mbona uko wazi....kwamba Rais asipobadilika atakufa, period!
Hapana Lema anamaanisha mipango wanayopanga wao chama mfu ya kumuua rais wetu, na ndiyo maana alijisahau akavujisha siri
 

Chama.mfu wanajikoki kila kukicha.
Hapa wamesuka mkakati wa kikanda kufanya yao, hatutakubali hakika
 
Tuwekee list ya watu waliomchoka na wewe ukiwemo.
 
Lakini mjue watukufu huwa hawaotwi kwa mambo yanayotisha
 
Ni Mungu huyuhuyu aliyefurahi kufedheheshwa kwa Mh.wetu mstafu kupitia Nabii huyuhuyu.





Kufikia mwakani Jan14 Jf itakumbwa na misukosuko.

Nimeoteshwa leo mchana.
 
Watu mmekuwa waoga kupitiliza. Lema ameota, tofautiyake ye ameongea, tayari mshamwagika povu. Mbona T B Joshua anaonaga maono anasema na vitu vinatokea hamumsemi?
Acheni uoga wa kitoto. Kama ni ndoto ipeni mda kisha mpime. Isipotokea mpuuzeni. Si ni hivyo tu jamani. Kwani shule mnaendaga kufanya nini jamani? Aaaaaaaaarrrrrgggggghhhhhh......
 
Kama analindwa na Mungu Mkuu mnahangaika nini na maono ya Lema yatakuwa ya ukweli
 
Hakuna Mungu mtu Duniani.
Nyanyaseni sana lakini si mnaona yanayotokea?
 

Lema hajui afanyalo. He is simply boring! Huwezikuwa na style ya siasa za aina hii ukategemea kupendwa na watu maskini ambao hawako sure of their next meal. Kila siku unajifanyiza madudu ili ukamatwe na uwekwe ndani na polisi.... kama unapenda sana kukaa jela basi wakufunge kabisa
 

Hivi wewe scorpion akikuotea kuwa nimeota ijumaa utaingiliwa na majambazi utapuuzia?

Unaijua vizuri historia ya lema,? Ni lini kawa mchungaji, narudia tena unaijua.vizuri historia ya lema???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…