Kile ulichonacho na kinakupa manufaa ndio cha maana.Hauwezi kuwa na cha maana kisichokuwa mkononi.Lema angetuambia kuwa ,boda boda ni laana ,na kwamba waiache na wakauze maandazi.Mbona Lema anaongea ukweli wandugu, hata mimi siwezi kubali mtoto wangu awe dere
Kwahiyo wewe unaona boda boda ni kazi ya maana hiyo?
Hata wewe kazi yako ya UCHAWA, siyo kazi.Asilimia kubwa ya bodaboda wengi hawajaenda shule wee ulitaka wafanye shughuli gani?
Ndio mkuu anacho ongea Lema ndio ukweli wenyewe.Kuna kuna ku adapt habits and neuropathway za umasikini unaona uko sahihi. Jamani boda risk Ni kubwa kwa maisha yake yaani Sana mno. Safety ni ndogo...
Algeria ,Cuba,Russia, yaani zile nchi za ovyo ovyo wanaenda bachelor.Nina ndugu zangu wawili mmoja algeria na mwingine anasoma USA na sio watoto wa vigogo wameenda kusoma degree baada ya kufaulu vizuri kwa kuwa gpa kubwa
Nina ndugu zangu wawili mmoja algeria na mwingine anasoma USA na sio watoto wa vigogo wameenda kusoma degree baada ya kufaulu vizuri kwa kuwa gpa kubwa
Nini maana ya kazi?kwanzaHata wewe kazi yako ya UCHAWA, siyo kazi.
Kama kweli bodaboda ni kazi waanze kukatwa KODI.
Usiwe na mwemko ndugu.Jibu hoja ,kuwa which is an alternative job likely to fit our youth instead of boda.CCM oyeeee.
Mmezalisha MITUMWA ya kutawaliwa na Koo Moja na Wala HAISHTUKI
Kwa hiyo watoto wa viongozi wa juu wa upinzani nao wanaendesha boda boda au wanauza mama ntilie? Kama wao tu enyewe familia zao zipo Ulaya wao wanaweza kuwafutia watu umasikini wasiendeshe bodaboda?Tunapaswa kuwaona hata watoto wa viongozi wakisotea kazi, wakiwa mtaani, kwani wao wana nini? How come ni rai wa choka mbaya pekeee ndio waendeshe toyo?
Usawa uko wapi? Yaani raia wengine waajiriwe kwa vimemo na wengine wakasotee kazi?
Kila mtu anaweza fanya kazi BOT au TRA...? Au ni education status yako..? Jibu kwa asilimia😂kaendeshe bodabofa jinga wewe huku watoto wa majaliwa na mwinyi wakifanya kaz BOT NA TRA.
FactKwa hiyo watoto wa viongozi wa juu wa upinzani nao wanaendesha boda boda au wanauza mama ntilie? Kama wao tu enyewe familia zao zipo Ulaya wao wanaweza kuwafutia watu umasikini wasiendeshe bodaboda?
FactUsiwe na mwemko ndugu.Jibu hoja ,kuwa which is an alternative job likely to fit our youth instead of boda.
Anything that has mass and space. Or Is the basic unit of life🤓🤓🤓Nini maana ya kazi?kwanza
Atoe alternative way akafanye nini huyu boda boda... Ambao % kubwa ni uneducated (sina uhakika 100%)Ndio mkuu anacho ongea Lema ndio ukweli wenyewe.
Umeongeza maneno yako, kwa mantiki ya kawaida wewe binafsi unaweza kumcarage mtoto wake akawe boda boda, ikiwa jibu ni la badi boda boda sio kazi ya maana kama sio kazi ya maana basi inapaswa period acheni uzuzu nyieSidhani kama amekuja kwa lengo la kukijenga chama chao huenda kuna ajenda ya kukidumaza hicho chama.
Je, yeye Lema amewahi muona mtoto wa Waziri mkuu anashona viatu...
Uyu nae anaongea ujinga,yaani Baba yangu ana uwezo alafu mimi nikafanye vibarua vya kuendesha Bodaboda!Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi...
Una uhakika kuwa viongozi wote wa CCM Wana vipato vikubwa!Mbona watoto wa viongozi wa CCM hawaendeshi bodaboda?
Shida Watanzania akiwa masikini yeye anataka watu wote wawe masikini!Hivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Le mutuz vs Mwijaku
Kazi zenye maslahi ni nyingi hao watoto wa majaliwa na mwinyi wataweza kufanya kazi zote zenye maslahi? Je wewe unafanya kila chenye maslahi? Kila mtu afanye anachokimudu msipangie watu cha kufanya.- Kama wanapiga Hela kwenye bodaboda,basi mtoto wa Majaliwa na Mwinyi waende nao wakapige hizo Hela.
Bodaboda ni kazi ya hovyo sana ccm wamewafanyia vijana wakimbilie huko kwa wanajua huko wataweza kujikwamua kimaisha then wawatumie kama daraja la kupata kura.Mbona anaegamia tu on negayive effect
Kila kazi ina faida na hasara
He should apologize on kuita bodaboda ni kazi ya laana
Kufa au ulemavu kazi yeyote huja na haya matokeo
He should apologize for his own good
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jaman khaaaahMbona hajamtaja mtoto wa Samia? Anaogopa kuminyiwa mrija wa asali?