Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

Mbona Lema anaongea ukweli wandugu, hata mimi siwezi kubali mtoto wangu awe dere
Kwahiyo wewe unaona boda boda ni kazi ya maana hiyo?
Kile ulichonacho na kinakupa manufaa ndio cha maana.Hauwezi kuwa na cha maana kisichokuwa mkononi.Lema angetuambia kuwa ,boda boda ni laana ,na kwamba waiache na wakauze maandazi.

Lakini unasema tu kuwa bodaboda ni laana na hauna alternative yake. Inaonyesha kwamba Lema hana uwezo wa kufikiria ni mpumbavu. Wengine boda Ina wapa mahitaji ya kila siku, pamoja na kusomesha watoto.
 
Nina ndugu zangu wawili mmoja algeria na mwingine anasoma USA na sio watoto wa vigogo wameenda kusoma degree baada ya kufaulu vizuri kwa kuwa gpa kubwa
Algeria ,Cuba,Russia, yaani zile nchi za ovyo ovyo wanaenda bachelor.

Pia nimekuambia umeshaona scholarship za undergraduate za hizo nchi nilizokutajia. Kwa masters hata German unapata.

Nina ndugu zangu wawili mmoja algeria na mwingine anasoma USA na sio watoto wa vigogo wameenda kusoma degree baada ya kufaulu vizuri kwa kuwa gpa kubwa
 
Tunapaswa kuwaona hata watoto wa viongozi wakisotea kazi, wakiwa mtaani, kwani wao wana nini? How come ni rai wa choka mbaya pekeee ndio waendeshe toyo?

Usawa uko wapi? Yaani raia wengine waajiriwe kwa vimemo na wengine wakasotee kazi?
Kwa hiyo watoto wa viongozi wa juu wa upinzani nao wanaendesha boda boda au wanauza mama ntilie? Kama wao tu enyewe familia zao zipo Ulaya wao wanaweza kuwafutia watu umasikini wasiendeshe bodaboda?
 
Kwa hiyo watoto wa viongozi wa juu wa upinzani nao wanaendesha boda boda au wanauza mama ntilie? Kama wao tu enyewe familia zao zipo Ulaya wao wanaweza kuwafutia watu umasikini wasiendeshe bodaboda?
Fact
 
Sidhani kama amekuja kwa lengo la kukijenga chama chao huenda kuna ajenda ya kukidumaza hicho chama.

Je, yeye Lema amewahi muona mtoto wa Waziri mkuu anashona viatu...
Umeongeza maneno yako, kwa mantiki ya kawaida wewe binafsi unaweza kumcarage mtoto wake akawe boda boda, ikiwa jibu ni la badi boda boda sio kazi ya maana kama sio kazi ya maana basi inapaswa period acheni uzuzu nyie
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi...
Uyu nae anaongea ujinga,yaani Baba yangu ana uwezo alafu mimi nikafanye vibarua vya kuendesha Bodaboda!

Hao anaowataja ni ruling class ambao tayari walishawaandalia maisha watoto wao kama yeye Lema alivyowaweka vizuri watoto wake.
 
Hivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Shida Watanzania akiwa masikini yeye anataka watu wote wawe masikini!
Sasa unalinganishaje maisha ya mtoto wa tajiri na masikini!
 
- Kama wanapiga Hela kwenye bodaboda,basi mtoto wa Majaliwa na Mwinyi waende nao wakapige hizo Hela.
Kazi zenye maslahi ni nyingi hao watoto wa majaliwa na mwinyi wataweza kufanya kazi zote zenye maslahi? Je wewe unafanya kila chenye maslahi? Kila mtu afanye anachokimudu msipangie watu cha kufanya.
 
Mbona anaegamia tu on negayive effect

Kila kazi ina faida na hasara

He should apologize on kuita bodaboda ni kazi ya laana

Kufa au ulemavu kazi yeyote huja na haya matokeo

He should apologize for his own good
Bodaboda ni kazi ya hovyo sana ccm wamewafanyia vijana wakimbilie huko kwa wanajua huko wataweza kujikwamua kimaisha then wawatumie kama daraja la kupata kura.
 
Back
Top Bottom