Kile ulichonacho na kinakupa manufaa ndio cha maana.Hauwezi kuwa na cha maana kisichokuwa mkononi.Lema angetuambia kuwa ,boda boda ni laana ,na kwamba waiache na wakauze maandazi.Mbona Lema anaongea ukweli wandugu, hata mimi siwezi kubali mtoto wangu awe dere
Kwahiyo wewe unaona boda boda ni kazi ya maana hiyo?
Lakini unasema tu kuwa bodaboda ni laana na hauna alternative yake. Inaonyesha kwamba Lema hana uwezo wa kufikiria ni mpumbavu. Wengine boda Ina wapa mahitaji ya kila siku, pamoja na kusomesha watoto.