Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒlabda upo sahihi

Ila vipi ile akae tu awe ombaomba ndo unataka? Thing are neber easy we are set to conquer them and there come hawa bodaboda
๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“, just speechless, I always avoid asymmetrical infos. Waachie ajira huko siyo kutengeneza mtaji wa kisiasa tu...
 
Lema amesahau kuwa kuna mgawanyo wa kazi katika jamii'DIVISION OF LABOUR' na tunategemeana wapo mafundi seremala,wapo waosha vyoo km ulaya,wapo makarani,wapo mafundi washi, wapo bankers nk kazi nyingine Afrika ni 'reflection' ya hatua ya maendeleo tulipo. Nenda Nigeria, Guinea Bissau,Kenya, Ghana kazi ni zile zile kwenye jamii zinafanana. Hata India walioendelea kuna bajaj. Hoja za Lema ni mfu hazijadili tatizo kwa kina. Aache atajidhalilisha.
 
Hata yeye wanae huko Canada hawatafanya kazi sawa na watoto wa Justin Trudeau.. Kazidi kuropoka aisee
 
Hivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Ameenda Canada akaona watoto wa viongoz wanasoma shule za serikali soo anajaribu Ku assume may be tukiboresha inaweza ikatokea hivyo hata bongo
 
Lema analeta tu ujuaji. Hatuwezi wote kuwa na kazi za blue-collar au white collar kama anavyotaka yeye. Haiwezekani Tanzania na haijawahi kuwezekana popote duniani. Sasa wazoa taka mjini Lema atasemaje? Wana laana ya wazazi wao?!. Lema aache ujuaji.

..kwenye nchi za wenzetu serikali zina namna mbalimbali ya kuwa-boost watu wenye kipato cha chini. Kwa mfano, wanaweza kupewa bima ya afya kwa bei nafuu, au kupangishwa ktk nyuumba za bei nafuu, etc.
 
Asilimia kubwa ya bodaboda wengi hawajaenda shule wee ulitaka wafanye shughuli gani?
Serikali ingetenga mapoli makubwa ingechimba visima watu walime kilimo Cha umwagiliaji iwatafitie masoko nk
 
Kama hakuna mtoto wa kiongozi hata mmoja ambaye ni physicist kwa Lema u-physicist inakua ni kazi ya laana?

Lema uwezo wake wa kufikiri na kujenga hoja mdogo sana.
 

Mwalimu wangu hatuna neno kweri kweri kwenye kiswahili sanifu ila tuna kweli kweli. Usikasirike tunasaidiana
 

Umasikini sio sifa,acheni kujazana ujinga,wengi wanao fanya bodaboda waliingia huko baada ya kukosa option ya maisha.
 
Asante Kwa Taarifa. Ila wajameni tusipotezeane muda! Kubwa zaidi ni KATIBA KATIBA KATIBA
Na TUME HURU.
Tusitoane kwenye RELI.

Kazi ni kazi. Mbona Kuna vijana wengi sana mtaani/Kijiweni usiku nako wizi ukiacha Panya barabara!
Wanaoyza maji vitu mbalimbalo kando ya mabarabara kupishana na magari hamuwaoni!?

Bodaboda nyingi ni za wenyewe matajiri na hadi afikishe Lengo la tajiri anapitua madhila mengi kama hajaanguka nalo!

Sasa hii umeingia Kwa siasa inakuwa tabu.
Hatutajenga Taifa lenye Maendeleo kwa jinsi hii ya kudhania hii ni ajira.
Isiyo na hata bima au pensheni!?!
 
Mbona ulaya hakuna Maisha Magumu na hawana rasilimali Kama sisi Tz , Ccm ni chama Cha watu wajinga unabidi kumpa tu Akili ya Kujitambua kwanza maana haina Maana mtu atoke chuo aje kuwa bodaboda if yes mbona watoto wao hawafanyi hizo Kazi ? Nchi inabidi kuwa na Usawa .
 
Lema aache dharau aisee ni ujinga kudharau kazi za watu
Nyerere alipojitokeza na kuanza kuwaambia Watanganyika kwamba tudai uhuru wetu tuwaondoe wakoloni! watu waliokuwa ktk agira za kikoloni, waiojiona wana elimu na wamefanikiwa sana, walimjia juu kwa maneno makali na ya dharau kwamba kujitawala unafikiri ni mchezo?
Nyerere anasema, baada ya uhuru kupatikana, ndio walikuwa wa kwanza kumwendea na kusema sasa tujitawale wenyewe!
Bodaboda ni kielelezo cha kufeli kwa ccm kuiendeleza nnchi
Ni sawa na mtu aje leo aseme mwanafunzi kukalia tofauli dalasani ni laana, wewe useme msikasfu matofali!
 
Hakuna nchi yeyote iliyoendelea inayotumia bodaboda la usafiri wa umma. Usafiri huo ni dalili ya umaskini, Lema yuko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ