nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
Si ndio ukweli ndugu yangu. Sasa hivi yeye ni malaika.. wamesahau kwenye uchaguzi mkuu aliwaambia wapige kura wasipige CCM itashinda.😂😂 Watu mna maneno!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio ukweli ndugu yangu. Sasa hivi yeye ni malaika.. wamesahau kwenye uchaguzi mkuu aliwaambia wapige kura wasipige CCM itashinda.😂😂 Watu mna maneno!
🤓🤓🤓, just speechless, I always avoid asymmetrical infos. Waachie ajira huko siyo kutengeneza mtaji wa kisiasa tu...😃😃labda upo sahihi
Ila vipi ile akae tu awe ombaomba ndo unataka? Thing are neber easy we are set to conquer them and there come hawa bodaboda
Hata yeye wanae huko Canada hawatafanya kazi sawa na watoto wa Justin Trudeau.. Kazidi kuropoka aiseeMjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.
Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Mlale Unono!
Ameenda Canada akaona watoto wa viongoz wanasoma shule za serikali soo anajaribu Ku assume may be tukiboresha inaweza ikatokea hivyo hata bongoHivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Asilimia kubwa ya bodaboda wengi hawajaenda shule wee ulitaka wafanye shughuli gani?
Lema analeta tu ujuaji. Hatuwezi wote kuwa na kazi za blue-collar au white collar kama anavyotaka yeye. Haiwezekani Tanzania na haijawahi kuwezekana popote duniani. Sasa wazoa taka mjini Lema atasemaje? Wana laana ya wazazi wao?!. Lema aache ujuaji.
Mbona watoto wa Nyerere waliishi maisha ya kawaida Sana au umezaliwa juzi.Hivi lema ameona nchi gani watoto wa viongozi wanafanana level na wananchi wa hali ya chini hoja aliyoitengeneza ni ya kitoto Sana
Serikali ingetenga mapoli makubwa ingechimba visima watu walime kilimo Cha umwagiliaji iwatafitie masoko nkAsilimia kubwa ya bodaboda wengi hawajaenda shule wee ulitaka wafanye shughuli gani?
Hiyo hoja kama kweli ameitoa basi amedhihirisha yeye Lema ana upeo mdogo sana wa kufikiri. Lakini sishangai maana hata mwezake John Heche niliyesoma nae Shahada ya Elimu na mkewe ambaye ni Mwalimu pale Nyabulogoya Sekondari Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza eti nae anauponda Ualimu kisa tu aliwahi kuwa Mbunge! Watu Hawa ni washamba kweri kweri!!
Huku ndiko kunaitwa kujazana ujinga, haiwezekani watoto wote wazazi wao wakawa na Uwezo wa shule za medium!, ACHA KUJAZA WATU UPUMBAVU!,
Wameshaitana kama mchwa waje watafune ruzuku yao taratibu, pia mkikosa la kuongea si lazima uongee!
Jifunzeni hekima kutoka CCM.
Vidole havilingani urefu, yeye kafika Canada mimi sijafika.° namuunga mkono Mhe Lema
Kafikishwa😄Vidole havilingani urefu, yeye kafika Canada mimi sijafika.
Asante Kwa Taarifa. Ila wajameni tusipotezeane muda! Kubwa zaidi ni KATIBA KATIBA KATIBAMjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.
Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Mlale Unono!
======
"Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa au Mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha bodaboda na kudai ni kazi ya heri nitaomba radhi. Bodaboda ni kazi ya mateso,imeumiza watu na kujeruhi watu wengi.Acheni kudanganywa na Serikali iliyo kosa mbinu za kuokoa maisha yenu. Umasikini sio sifa."
View attachment 2539929
Not just a moron, he's stupidWhat a moron
Hufahamu ajira ni tatizo la kidunia kwa sasa?Umasikini sio sifa,acheni kujazana ujinga,wengi wanao fanya bodaboda waliingia huko baada ya kukosa option ya maisha.
Nyerere alipojitokeza na kuanza kuwaambia Watanganyika kwamba tudai uhuru wetu tuwaondoe wakoloni! watu waliokuwa ktk agira za kikoloni, waiojiona wana elimu na wamefanikiwa sana, walimjia juu kwa maneno makali na ya dharau kwamba kujitawala unafikiri ni mchezo?Lema aache dharau aisee ni ujinga kudharau kazi za watu
Hakuna nchi yeyote iliyoendelea inayotumia bodaboda la usafiri wa umma. Usafiri huo ni dalili ya umaskini, Lema yuko sahihiMjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.
Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Mlale Unono!
======
"Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa au Mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha bodaboda na kudai ni kazi ya heri nitaomba radhi. Bodaboda ni kazi ya mateso,imeumiza watu na kujeruhi watu wengi.Acheni kudanganywa na Serikali iliyo kosa mbinu za kuokoa maisha yenu. Umasikini sio sifa."
View attachment 2539929