Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

Wewe mtu mweusi una akili gani ya kujifananisha na hao wazungu ?
 
Wewe ndio mshamba kama na wewe ni mwalimu bas kunatatizo kubwa ndio maana juz bodaboda kule Arusha wamewazarau kwa kusema wanawazid kweli nimeamin wanawazid na mtaendelea kuzeeka hivyohivyo na ujinga wenu.
Mimi niko mtandaoni Kila siku kwasababu nina bando. Wewe unaingia kwa kubeep halafu unaleta mdomo the! PUMBAVU!!
 
Hili nalo ni pumbavu! Yaani mtoto wa Rais au Waziri mkuu akaendeshe bodaboda amekosa nini? Mbona vijana wanaojiekewa wanapiga hela tu kwenye bodaboda? Lema aache upumbavu!
- Kama wanapiga Hela kwenye bodaboda,basi mtoto wa Majaliwa na Mwinyi waende nao wakapige hizo Hela.
 
Hoja ya Mhe Lema ni kwamba, watoto wa Viongozi wanapewa ajira zenye staha kwa upendeleo pasipo kufuata utaratibu
 
Narudia kusema nyie ni wajinga, weww ni mjinga,
 
Boda ni Kaz kwa akili Yako! Acheni mamb haya. Kiwango kidog Cha elim kitawateketeza ninyi watanzania.. kilimo na ajira za viwandani kwenye hoja yake kwa nn mnakaa kuipuuza
Lema aache dharau aisee ni ujinga kudharau kazi za watu
 
Hivi kumbe mke wa Heche anafundisha hapo Nyabulogoya?
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi...
Je! Amewaona watoto wa hao viongozi wakifanya kazi viwandani? Mfano: Amewaona wale watoto wanafanya kazi Kioo Limited, kiwanda cha saruji wazo au kiwanda chochote?

Yeye si anasema kazi za viwandani ndizo si laana! Atwambie kama kuna mtoto wa mkubwa huko! Lema asihalalishe matusi yake kwa kuingiza majina ya wakubwa!

Ameisha watukana wafanyakazi wa Bodaboda basi - aombe samahani tuyasahau.
 
Kwa hiyo bodaboda ndio suluhisho la matatizo ya masikini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…