ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Wewe mtu mweusi una akili gani ya kujifananisha na hao wazungu ?Mbona ulaya hakuna Maisha Magumu na hawana rasilimali Kama sisi Tz , Ccm ni chama Cha watu wajinga unabidi kumpa tu Akili ya Kujitambua kwanza maana haina Maana mtu atoke chuo aje kuwa bodaboda if yes mbona watoto wao hawafanyi hizo Kazi ? Nchi inabidi kuwa na Usawa .