Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

Mbona ulaya hakuna Maisha Magumu na hawana rasilimali Kama sisi Tz , Ccm ni chama Cha watu wajinga unabidi kumpa tu Akili ya Kujitambua kwanza maana haina Maana mtu atoke chuo aje kuwa bodaboda if yes mbona watoto wao hawafanyi hizo Kazi ? Nchi inabidi kuwa na Usawa .
Wewe mtu mweusi una akili gani ya kujifananisha na hao wazungu ?
 
Wewe ndio mshamba kama na wewe ni mwalimu bas kunatatizo kubwa ndio maana juz bodaboda kule Arusha wamewazarau kwa kusema wanawazid kweli nimeamin wanawazid na mtaendelea kuzeeka hivyohivyo na ujinga wenu.
Mimi niko mtandaoni Kila siku kwasababu nina bando. Wewe unaingia kwa kubeep halafu unaleta mdomo the! PUMBAVU!!
 
Hili nalo ni pumbavu! Yaani mtoto wa Rais au Waziri mkuu akaendeshe bodaboda amekosa nini? Mbona vijana wanaojiekewa wanapiga hela tu kwenye bodaboda? Lema aache upumbavu!
- Kama wanapiga Hela kwenye bodaboda,basi mtoto wa Majaliwa na Mwinyi waende nao wakapige hizo Hela.
 
Hoja ya Mhe Lema ni kwamba, watoto wa Viongozi wanapewa ajira zenye staha kwa upendeleo pasipo kufuata utaratibu
 
Acha ujinga wewe,na wewe peleka kimemo basi..

Hakuna hata siku Moja watu watafanana Kwa life standards maana wanatofauyiana vipawa,fursa, mazingira waliko nk
Hayo anayoongea Lema ni ujinga,yeye anaweza furahia mtoto wake awe Delivery boy au awe anatosha matako ya wazee wa Canada?
Narudia kusema nyie ni wajinga, weww ni mjinga,
 
Boda ni Kaz kwa akili Yako! Acheni mamb haya. Kiwango kidog Cha elim kitawateketeza ninyi watanzania.. kilimo na ajira za viwandani kwenye hoja yake kwa nn mnakaa kuipuuza
Lema aache dharau aisee ni ujinga kudharau kazi za watu
 
Hiyo hoja kama kweli ameitoa basi amedhihirisha yeye Lema ana upeo mdogo sana wa kufikiri. Lakini sishangai maana hata mwezake John Heche niliyesoma nae Shahada ya Elimu na mkewe ambaye ni Mwalimu pale Nyabulogoya Sekondari Kata ya Nyegezi Jijini Mwanza eti nae anauponda Ualimu kisa tu aliwahi kuwa Mbunge! Watu Hawa ni washamba kweri kweri!!
Hivi kumbe mke wa Heche anafundisha hapo Nyabulogoya?
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi...
Je! Amewaona watoto wa hao viongozi wakifanya kazi viwandani? Mfano: Amewaona wale watoto wanafanya kazi Kioo Limited, kiwanda cha saruji wazo au kiwanda chochote?

Yeye si anasema kazi za viwandani ndizo si laana! Atwambie kama kuna mtoto wa mkubwa huko! Lema asihalalishe matusi yake kwa kuingiza majina ya wakubwa!

Ameisha watukana wafanyakazi wa Bodaboda basi - aombe samahani tuyasahau.
 
Huku ndiko kunaitwa kujazana ujinga, haiwezekani watoto wote wazazi wao wakawa na Uwezo wa shule za medium!, ACHA KUJAZA WATU UPUMBAVU!,

Wameshaitana kama mchwa waje watafune ruzuku yao taratibu, pia mkikosa la kuongea si lazima uongee!
Jifunzeni hekima kutoka CCM.
Kwa hiyo bodaboda ndio suluhisho la matatizo ya masikini?
 
Back
Top Bottom