Kwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?
Too bad kwamba nchi haifuati misingi ya shiria na washazoeshwa na aliyekuwa boss wao mambo yanafanyika nyuma ya pazia bila kuzingatia misingi ya sheria.Kwa nini mnampa Samia nguvu ambazo kikatiba hana?
Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?
Umesahau msemo wa sa100 katiba ni kakijitabu tu.Kwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?
Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?
Yani Lema anataka Samia aiingilie mambo yaliyopo katika mfumo wa mahakama?
Nyie Chadomo ni wapumbavu,si mnaswmaga hii ni kesi ya Kisiasa? Sasa hapo kosa la Lema liko wapi?Kwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?
Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?
Yani Lema anataka Samia aiingilie mambo yaliyopo katika mfumo wa mahakama?
"ongea, na bosi wako. tumezuiliwa, waruhusu viongozi wakuu waweze hata kumsalimia mwenyekiti."-hauna habari hilo mahakama iliamuru ni haki yake kukutana na viongozi na wanasheria wake.Kwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?
Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?
Yani Lema anataka Samia aiingilie mambo yaliyopo katika mfumo wa mahakama?
Aende kwa machawa wenzake CCM. Madhara CHADEMA iliyopata mikononi mwa CCM sio ya kufanyiwa strategic engagement.Huyo Lema atakuwa mpumbavu kama ataendelea kukaa kwenye chama ambacho haaminiki anaitwa Project.
Sasa kwani lazima kuwa Chadomo? Ila Sasa kama hakuwa project manake Kwa Sasa anatakiwa kuachana na siasa aendelee na Maisha mengine maana Kwa CCM atakuwa liability na Kwa Chadomo wanamuita msaliti.
Shida zote huzi ni Kwa sababu hana msimamo mkali Sasa wajiandae kina Boni Yao,Sugu na Mnyika na wengine ambao ni moderate
Point yangu ni kwamba hata wapinzani wanaosema rais ana nguvu sana, mahakama zinaendeahwa kwa amri kutoka juu, na wao wanataka Samia aingilie mchakato ulio mahakamani na kumaliza kesi zao.Umesahau msemo wa sa100 katiba ni kakijitabu tu.
Kwasemo huo hiyo katiba itaheshimiwaa na nani?
Ndio maana anatakiwa kutoka na akae pembeni kama Mbowe Ili nyie wapumbavu ndio muanze kuimba nyimbo za Kwa nini Mbowe haendi mahakani.Aende kwa machawa wenzake CCM. Madhara CHADEMA iliyopata mikononi mwa CCM sio ya kufanyiwa strategic engagement.
Mpumbavu mwenyewe, stupid idiot. Aende huko CCM kwa machawa wenzake kama wewe. Ambao hamuwezi kuishi bila buku Saba.Ndio maana anatakiwa kutoka na akae pembeni kama Mbowe Ili nyie wapumbavu ndio muanze kuimba nyimbo za Kwa nini Mbowe haendi mahakani.
Kuendelea kukaa kwenye kundi la wapumbavu eti unawaelikisha watakudhuru,chama kinaongozwa na kina Mange,Lisu anasikiliza bwana zake Mabeberu na wengine ni Bendera fuata upepo
Dalali yule.Look at his eyes!Snitch in town!Mbona kama huu ndio udalali wenyewe. Nani alimtuma aongee na Makamu wa Rais Nchimbi.
Rejea maelezo yangu,kama alitumwa na CCM ataenda ila kama ni msimamo wake akae pembeni kama Mbowe,Fatuma Karume na wengine ambao ni moderate.Mpumbavu mwenyewe, stupid idiot. Aende huko CCM kwa machawa wenzake kama wewe. Ambao hamuwezi kuishi bila buku Saba.
Mahakama ambayo Babu wasira anasema anapanga yeye! Sasa hapo maana yake si anapanga samiaKwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?
Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?
Yani Lema anataka Samia aiingilie mambo yaliyopo katika mfumo wa mahakama?
💯%.Point yangu ni kwamba hata wapinzani wanaosema rais ana nguvu sana, mahakama zinaendeahwa kwa amri kutkka juu, na wao wanataka Samia aingilie mchakato ulio mahakamani na kumaliza kesi zao.
Wanakuwa na urahisi sana wa kutaka Samia asiingilie kesi wanapotaka wao kwa faida zao, lakini ikiwa Samia ataingilia kesi na wao kupata faida, wanaona sawa tu.
This is a contradiction.
By the way, nafikiri Tundu Lissu anapingana na hizi habari za kutaka Samia aingilie kesi, kwa sababu yeye alisema hataki upendeleo, anataka kesi iendeshwe na ihukumiwe kwa haki tu.
Tundu Lissu anataka kushinda kesi kwa haki, si kufutiwa kesi na Samia.
Kwa hiyo hii mipango ya kutafuta fadhila za Samia ili Tundu Lissu aachiwe, inapingana na falsafa za Tundu Lissu.