Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

Kifo kwa Magufuli ni adhabu tosha. Magufuli alikua laana ya Taifa yaani Shetani. Alikufa kama firauni viungo vya mwili waziiii. Yaani macho mdomo mpaka TIGU waaaziiii. Sasa kaliwa na funza hukoo. BLADFAKEN MWENDAZAKE.
asingekufa ili ajutie akiwa hai. watu kama hawa kuna adhabu nyingi wanatakiwa kupigwa na adhabu wakiwa hai ili kuwa mfano
 
Kwamba mke wa Lema na Kalemani wanafahamiana kiasi cha kila mmoja kuwa na namba ya simu ya mwenzake?

Ilikuwa ni simu ya amri au ombi?
 
kama ni kweli mke wake ni juha.
 
Ndio maana mama Samia aliwaambia akina Lema kuwa mwanausalama yeyote wa Tanzania asingeweza kushinda kumuua Lissu hata kwa risasi 3 tu, na ingetokea kibarua kingeisha siku hiyo! Sasa Lema eti ushirikiano anaombwa mke wake tena wa kuzima kamera na kuacha geti wazi na kufungia mbwa wote ndani! Tena maelekezo yanatokewa kwa njia ya simu ambayo kuirekodi hata mtoto wa chekechea anaweza!
 
Unaandika ukitokea wapi?
 
Lema ni muhuni na Propagandist aliebobea. Ni miongoni mwa Magaidi. Alifaaa kujulishwa na Mboe.
Mmepoteza lengo na nchi imemshinda mama yenu anakaa kubambikiza watu kesi. Kama Mbowe kashiriki kuua viongozi basi tuna usalama wa hovyo sana kuwahi kutokea.
 
Mmepoteza lengo na nchi imemshinda mama yenu anakaa kubambikiza watu kesi. Kama Mbowe kashiriki kuua viongozi basi tuna usalama wa hovyo sana kuwahi kutokea.
Kwa hiyo unamsifu Mboe na Genge lake.!
 
Kama ilivyo kwa mbowe sasa nae atawajibika siku si nyingi.
 
Kumwamini Lema ni upungufu wa akili
 
Nani amesema kifo cha mwendazake ndio kifo cha kila mtu?
kuporwa miaka yake iliosalia kutawala na Mwenyezi Mungu sio Adhabu tuu ni Adhabu kubwa sana kuliko hata alivyostahili.
πŸ’ƒπŸΎπŸ•ΊπŸ½πŸ’ƒπŸΎπŸ•ΊπŸ½πŸ’ƒπŸΎπŸ•ΊπŸ½πŸ’ƒπŸΎπŸ•ΊπŸ½πŸ’ƒπŸΎπŸ•ΊπŸ½
 
Ili kudhihirisha kauli yako hii, tunaomba utupe ukweli wa nani aliondoa cctv camera kwenye nyumba za serikali? ili tuweze kumuaibisha Lema.
Hao legacy ya Mwendawazimu wnajiongeresha kama wamekatwa kichwa.
Wasikupotezee muda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…