OkWakili msomi amesema Lengai Ole Sabaya baada ya kuachiwa huru na mahakama ,sasa kisheria yuko huru kugombea na kushinda kuwa mbunge wa Hai au kuteuliwa kuwa kiongozi yoyote.
Sabaya kisheria hana kikwazo chochote cha kuwa kiongozi.View attachment 2577499
[emoji23][emoji23]Huyo wakili atakuwa ICU
Sasa ndio imekamilika.Uko sahihi mkuu jamaa bado sana
USSR
KWA TANZANIA ANAWEZA KUENDELEA NA UKUU WAKE WA WILAYA YA HAIWakili msomi amesema Lengai Ole Sabaya baada ya kuachiwa huru na mahakama ,sasa kisheria yuko huru kugombea na kushinda kuwa mbunge wa Hai au kuteuliwa kuwa kiongozi yoyote.
Sabaya kisheria hana kikwazo chochote cha kuwa kiongozi.View attachment 2577499
WAKILI NJAAMambo mengine tusiwe tuna ingiza kichwa kichwa.
Sabaya amekiri makosa yake yote aliyo kuwa ameshtakiwa nayo, hata lile la uhujumu uchumi na kuhoji genge la uhalifu. Maana yake Sabaya ni jambazi.
Hastahili kugombea nafasi yoyote ya kisiasa wala ya serikali.
Ana makosa ya kijinai. Huyo wakili ni mihemko tuu ..
Hakuna mtu anayemiliki Serikali acheni UZWAZWAHamnaa kitu mnajifariji tu kajaribu uone kitachokupata.
Serikali ya Rais Samia itakushughulikia mpaka utajuta.
Aagh wapijambazi limerudi tena uraiani? tukae chonjo.
KabisaaSABAYAA atagombea Jimbo la hai na atamgaragaza kaka yule
Sabaya kashinda kesi gani? Kakiri kutenda UOVU na bado anakabiliwa na kesi kibaoSABAYA kashinda kesi sawa!, Mbowe aliombewa msamaha na Askofu SHOO.
Sabaya amekiri makosa mawili tu na adhabu yake ni milioni 5Mambo mengine tusiwe tuna ingiza kichwa kichwa.
Sabaya amekiri makosa yake yote aliyo kuwa ameshtakiwa nayo, hata lile la uhujumu uchumi na kuhoji genge la uhalifu. Maana yake Sabaya ni jambazi.
Hastahili kugombea nafasi yoyote ya kisiasa wala ya serikali.
Ana makosa ya kijinai. Huyo wakili ni mihemko tuu ..
Mbona gaidi hakukaa mbali na siasa?Huyo wakili hamtakii mema Sabaya.
Kama Sabaya ana fikra zimebaki akae mbali kabisa na siasa kwa sasa.
Ikiwa aliweka akiba ya alivyopora basi atulie na kujenga maisha yake nje ya siasa. Kinyume na hapo ataishia kaburini mapema mno.
Kila mtu ana haki kuwa kiongozi, sasa huo uozo nani wa kumpa uongozi.Wakili msomi amesema Lengai Ole Sabaya baada ya kuachiwa huru na mahakama ,sasa kisheria yuko huru kugombea na kushinda kuwa mbunge wa Hai au kuteuliwa kuwa kiongozi yoyote.
Sabaya kisheria hana kikwazo chochote cha kuwa kiongozi.View attachment 2577499
Sawa.Mbona gaidi hakukaa mbali na siasa?
Angekua amekiri kwa nini kaachiwa? Acheni porojoMambo mengine tusiwe tuna ingiza kichwa kichwa.