Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja
Mambo mengine tusiwe tuna ingiza kichwa kichwa.
Sabaya amekiri makosa yake yote aliyo kuwa ameshtakiwa nayo, hata lile la uhujumu uchumi na kuhoji genge la uhalifu. Maana yake Sabaya ni jambazi.
Hastahili kugombea nafasi yoyote ya kisiasa wala ya serikali.
Ana makosa ya kijinai. Huyo wakili ni mihemko tuu ..
 
WAKILI NJAA
 
Ndio kitu mnawaza tu yaani. Hata masaa 2 hajamaliza uraiani mnawaza kuchaguliwa kiongozi. Aisee mna shida Sana

Mtafutieni tiba kwanza
 
Huyo wakili hamtakii mema Sabaya.

Kama Sabaya ana fikra zimebaki akae mbali kabisa na siasa kwa sasa.

Ikiwa aliweka akiba ya alivyopora basi atulie na kujenga maisha yake nje ya siasa. Kinyume na hapo ataishia kaburini mapema mno.
 
SABAYA kashinda kesi sawa!, Mbowe aliombewa msamaha na Askofu SHOO.
Sabaya kashinda kesi gani? Kakiri kutenda UOVU na bado anakabiliwa na kesi kibao
IMG-20230405-WA0020.jpg
IMG-20230405-WA0015.jpg
 
Mambo mengine tusiwe tuna ingiza kichwa kichwa.
Sabaya amekiri makosa yake yote aliyo kuwa ameshtakiwa nayo, hata lile la uhujumu uchumi na kuhoji genge la uhalifu. Maana yake Sabaya ni jambazi.
Hastahili kugombea nafasi yoyote ya kisiasa wala ya serikali.
Ana makosa ya kijinai. Huyo wakili ni mihemko tuu ..
Sabaya amekiri makosa mawili tu na adhabu yake ni milioni 5
 
Huyo wakili hamtakii mema Sabaya.

Kama Sabaya ana fikra zimebaki akae mbali kabisa na siasa kwa sasa.

Ikiwa aliweka akiba ya alivyopora basi atulie na kujenga maisha yake nje ya siasa. Kinyume na hapo ataishia kaburini mapema mno.
Mbona gaidi hakukaa mbali na siasa?
 
Wakili msomi amesema Lengai Ole Sabaya baada ya kuachiwa huru na mahakama ,sasa kisheria yuko huru kugombea na kushinda kuwa mbunge wa Hai au kuteuliwa kuwa kiongozi yoyote.
Sabaya kisheria hana kikwazo chochote cha kuwa kiongozi.View attachment 2577499
Kila mtu ana haki kuwa kiongozi, sasa huo uozo nani wa kumpa uongozi.
Mbakaji wa wanawake asahau tu kuteuliwa na Mama yetu Samia.
 
Mambo mengine tusiwe tuna ingiza kichwa kichwa.
Sabaya amekiri makosa yake yote aliyo kuwa ameshtakiwa nayo, hata lile la uhujumu uchumi na kuhoji genge la uhalifu. Maana yake Sabaya ni jambazi.
Hastahili kugombea nafasi yoyote ya kisiasa wala ya serikali.
Ana makosa ya kijinai. Huyo wakili ni mihemko tuu ..
Angekua amekiri kwa nini kaachiwa? Acheni porojo
 
Back
Top Bottom