Tumempangia wapi huyu si jambazi .hapa tunajipanga kuibua kesi ingine iko pale kalolen upelelez uneishaMangapi wewe unamkosea Mungu? Watu hukosea na hutubu wasamehewe Mungu husamehe.
Tunayaona makosa ya sabaya zaidi kuliko dhuluma zetu tunazozijua na kuzificha vifuani mwetu.
Usimpangie Mungu cha kufanya, hatujui anafahamu nini kuhusu Sabaya.
Asante kwa Kushukuru
Mungu Bwana anafurahisha. Mipango yake haichunguzikiMungu huyo atakuwa mjinga kupambania majangili, wezi, wauwaji.
Eti haki imeshinda! Jangili mkubwa.
Ndo akome uhuni sasa!
Haki kweli imeshinda maana kama amekiri Makosa yake hatimae justice has been served.Haki imeshinda
Sasa kama jambazi utalifanyaje?Hakuna kitu kinauniuma kiona mtu aliye wahi kuwa Mkuu wa wilaya Kukaa jera
Hii sio poa
Ikiwa kavunja sheria kwanini asikae jela.Hakuna kitu kinauniuma kiona mtu aliye wahi kuwa Mkuu wa wilaya Kukaa jera
Hii sio poa
Kajifunza sanatenasana. Usisahau Mbowe alikuwa amekodisha komandoo matatu kwenda kumuua? Kwa bahati mbaya (nzuri kwake) makomandoo hayo (Bwire, Ling'wenya, na Adamoo) yakaamua kutembelea soko la Rau kunywa mbege na wa6hudumu, ndipo yakakamatwa na Afande Jumanne wakiongozwa na Kamanda Kindai kwa sting operation ya Afande "Homeboy" Urio. La sivyo angekufa kama ilivyoelezwa ushahidi na Lawyer wa tigopesa. Ila ile kesi ya mbowe ya ugaidi DPP akaona bora aifute kwa vile huyo ole Sabaya hakuzurika tena.Huyo jambazi ana haki, kaonewa huruma anasema haki imeshinda? Kumbe bado ana kiburi hajajifunza
Jamaa yake atamtolea magari au ndio wameachana rasmi?
Cap haituhusu leo shangweAache ushenzi.
Ametoka kwa handicap.
Wanamichezo mtanielewa ninachomaanisha hapa.
Mungu wa Israel aendelee kukupambania Kaka