Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja
Mangapi wewe unamkosea Mungu? Watu hukosea na hutubu wasamehewe Mungu husamehe.

Tunayaona makosa ya sabaya zaidi kuliko dhuluma zetu tunazozijua na kuzificha vifuani mwetu.

Usimpangie Mungu cha kufanya, hatujui anafahamu nini kuhusu Sabaya.
Tumempangia wapi huyu si jambazi .hapa tunajipanga kuibua kesi ingine iko pale kalolen upelelez uneisha
 
Linatakiwa kurudishwa jela halina adabu kabisa na limekosa fadhila,jitu limefanyiwa uungwana lenyewe linaendeleza kiburi au linafikiri yule mungu wao kafufuka!
 
Hakuna kitu kinauniuma kiona mtu aliye wahi kuwa Mkuu wa wilaya Kukaa jera
Hii sio poa
 
Hakuna kitu kinauniuma kiona mtu aliye wahi kuwa Mkuu wa wilaya Kukaa jera
Hii sio poa
Ikiwa kavunja sheria kwanini asikae jela.

Inapaswa hii iwe kwa wote, hata raisi hapaswi kuwa na kinga. Ikitokea kakosea atiwe ndani pia.

Trump keshakutwa na makosa ya kujibu japokuwa alikuwa raisi.

Zuma alitumikia kifungo japo na yeye alikuwa raisi.
 
Huyo jambazi ana haki, kaonewa huruma anasema haki imeshinda? Kumbe bado ana kiburi hajajifunza
Kajifunza sanatenasana. Usisahau Mbowe alikuwa amekodisha komandoo matatu kwenda kumuua? Kwa bahati mbaya (nzuri kwake) makomandoo hayo (Bwire, Ling'wenya, na Adamoo) yakaamua kutembelea soko la Rau kunywa mbege na wa6hudumu, ndipo yakakamatwa na Afande Jumanne wakiongozwa na Kamanda Kindai kwa sting operation ya Afande "Homeboy" Urio. La sivyo angekufa kama ilivyoelezwa ushahidi na Lawyer wa tigopesa. Ila ile kesi ya mbowe ya ugaidi DPP akaona bora aifute kwa vile huyo ole Sabaya hakuzurika tena.
 
Twitter Za Nini, Hata Nyumbani Hujakaa Umeanza Kuzurura Kwenye Mitandao
Jifunze Kwa Rugemalira Anointed Holly Man, Alipoachiwa Hata Waandishi Alikataa Kuongea Nao Mpaka Kesho Yupo Kimya
 
Back
Top Bottom