The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Tumempangia wapi huyu si jambazi .hapa tunajipanga kuibua kesi ingine iko pale kalolen upelelez uneishaMangapi wewe unamkosea Mungu? Watu hukosea na hutubu wasamehewe Mungu husamehe.
Tunayaona makosa ya sabaya zaidi kuliko dhuluma zetu tunazozijua na kuzificha vifuani mwetu.
Usimpangie Mungu cha kufanya, hatujui anafahamu nini kuhusu Sabaya.