Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kwa hiyo Sabaya amepangiwa wapi kufanya usafi!Kama Yona na Mramba Enzi zile
Ukiitwa mahakamani ulithibitishe hili ulilo andika utaweza?Karma mbona haimrudii Mbowe kwa kumuondoa Chacha Wangwe?
Uhaini iko sehemu gn hapo mkuu?, au na wewe una strees moyoni mwako?Kuhukumiwa kifungo si inamaanisha kakutwa na hatia. Sasa wakili wake alikuwa anaongea upuuzi gani kuwa Sabaya anaweza kugombea nafasi za uongozi ikiwa tayari ni muhaini.
Mungu huyo atakuwa mjinga kupambania majangili, wezi, wauwaji.
Mbona liko wazi hata wewe ukigombea uenyekiti wa chadema anakuuwa.Ukiitwa mahakamani ulithibitishe hili ulilo andika utaweza?
Hicho ulicho elezea ni conspiracy theory...
Ni sawa sawa na mtu mmoja aseme walio muua chacha wangwe ni CCM...
Kama unaushaid kasaidie mahakama...
Hapa hatuzungumzi mpira wa Simba na yanga mkuu (ushabiki weka kando)
Kwani Mungu wake anaishi Israel? [emoji848]Mungu wa Israel aendelee kukupambania Kaka
Mbowe alikataa mimba yako nini?Mahakama haipo huru ndiyo maana ilimkuta na kesi ya kujibu Mbowe juhusu ugaidi wake lakini akaachiwa huru
rudi kijijini ukaswage ngombe,
okUhaini iko sehemu gn hapo mkuu?, au na wewe una strees moyoni mwako?
Yeye kaomba kuachiwa na DPP halafu anasema haki imeshinda? hatari snHaki imeshinda
Release with conditions!!Yeye kaomba kuachiwa na DPP halafu anasema haki imeshinda? hatari sn
Propaganda 🤧🤧Mbona liko wazi hata wewe ukigombea uenyekiti wa chadema anakuuwa.
Muulize Sumaye
Sasa how haki imeshinda? Sabaya ni mjinga snRelease with conditions!!
🤣🤣🤣🙌Alikuwa anakumbuka password ya twitter.. aoe sasa... maana alikuwa analia kumuacha mchumba wetu uraiani
"Haki imeshinda", ni kweli hak8 imeshinda, maana amekutwa na hatia.
Yaani kutubu mpaka akutangazie?Wapi ametubu?