Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja
Rais anatamka hadharani kuwa ana mamlaka ya kumfutia mtu makosa hata kama ana makosa.

Hii ni uthibitisho kuwa hata kama huna kosa kama anachuki na wewe anaweza kukuweka gerezani kwa kesi za kubumba.

DPP na Mahakama haziko huru

Screenshot_20230405-124403.jpg
 
Karma mbona haimrudii Mbowe kwa kumuondoa Chacha Wangwe?
Ukiitwa mahakamani ulithibitishe hili ulilo andika utaweza?

Hicho ulicho elezea ni conspiracy theory...
Ni sawa sawa na mtu mmoja aseme walio muua chacha wangwe ni CCM...

Kama unaushaid kasaidie mahakama...

Hapa hatuzungumzi mpira wa Simba na yanga mkuu (ushabiki weka kando)
 
Kuhukumiwa kifungo si inamaanisha kakutwa na hatia. Sasa wakili wake alikuwa anaongea upuuzi gani kuwa Sabaya anaweza kugombea nafasi za uongozi ikiwa tayari ni muhaini.
Uhaini iko sehemu gn hapo mkuu?, au na wewe una strees moyoni mwako?
 
Ukiitwa mahakamani ulithibitishe hili ulilo andika utaweza?

Hicho ulicho elezea ni conspiracy theory...
Ni sawa sawa na mtu mmoja aseme walio muua chacha wangwe ni CCM...

Kama unaushaid kasaidie mahakama...

Hapa hatuzungumzi mpira wa Simba na yanga mkuu (ushabiki weka kando)
Mbona liko wazi hata wewe ukigombea uenyekiti wa chadema anakuuwa.

Muulize Sumaye
 
Lilkuwa ni suala la muda tu, tangu lini mwana njiwa akaozea jela. Karibu sana uraiani kijana la muhimu sasa ni kuwa na nidhamu ili mambo yaweze kwenda vizuri.
 
Back
Top Bottom