Hakika leo ni Leo ni sherehe kubwa sana kwangu. Tunamshukuru Mungu na pia Rais Hassan kwa namna ya kipekee , Asante sana yote ni Maisha Asante sana 🙏🙏🙏
 
Kuna kitu kajifunza huko gerezani mtawala ni mwanadamu usimtegemee bali mtegemee Mungu pekee.
 
Sabaya hajashitakiwa kwa kukata watu masikio na miguu, kama hayo yapo, aweza kushitakiwa upya.
Walalamikaji wakijitokeza atawajibishwa kama kawaida.
 
Bado Safari ni ndefu sana kama taifa katika mifumo ya haki na sheria. Aliyepatikana na kesi ya ugaidi na mahakama aliachiwa huru. Huyu naye baada ya kuhukumiwa miaka 30 jela naye kaachiwa huru. Nchi ya hovyo sana hii.
 
Hili ni kosa kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…