Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kisasi kwa Makonda aliyeko uraiani kimelipwa lini?Awe makini mtaani ni hatari kwake kuliko huko lupango Anaweza kutana na kisasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisasi kwa Makonda aliyeko uraiani kimelipwa lini?Awe makini mtaani ni hatari kwake kuliko huko lupango Anaweza kutana na kisasi
Aliachiliwa gaidi,sembuse kibaka?Mnaachia kibaka?
Kama Makonda bado anatamba uraiani vizuri, sidhani kama kwa Sabaya kutakuwa na cha kutilia wasiwasi.Katoka jela wamemtoa marinda, anarudi mtaani wabaya wake wanamtamani wamalizie walipoishia manyampara...
Ndio wanafurahia jamaa kukaa ndaniKwani CHADEMA ndo walioshitaki mahakamni?
Maisha ni zaidi ya uyajuavyo!SAD NEWS EVER.....
Makonda mmeshamalizana nae? maana yeye yupo kitaa siku zote.Huyu akiachiwa tunakuja kumfi.ra huku mtaani.
hapa hujatumia vizuri akili yako ya kuzaliwa..Ndio wanafurahia jamaa kukaa ndani
Nitatumia yakohapa hujatumia vizuri akili yako ya kuzaliwa..
karibu.Nitatumia yako
Kwa lipi hili au Kuna lingine?Naipongeza saana serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia.
Kuna kitu kajifunza huko gerezani mtawala ni mwanadamu usimtegemee bali mtegemee Mungu pekee.Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru.
View attachment 2577142
Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae.
Chanzo: Jambo TV
Afadhali sabaya kaingia jela kamalizana na walimwengu ataishi kwa amani...Kama Makonda bado anatamba uraiani vizuri, sidhani kama kwa Sabaya kutakuwa na cha kutilia wasiwasi.
Sabaya hajashitakiwa kwa kukata watu masikio na miguu, kama hayo yapo, aweza kushitakiwa upya.Duh, at last.
Lesson learnt the hard way.
Viongozi wengine mjifunze... power is no permanent and is always shifting... just eat your cake and behave.
Ule ujinga aliokuwa anaf1anya nadhan amepata fundisho maisha yake yote.
But... one thing.
Sheria ni za watu masikini?
Ukate watu masikio na miguu, upige watu, upore mali za watu na bado unaambiwa upo huru....
Hili ni kosa kubwa sanaAliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru.
View attachment 2577142
Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae.
Chanzo: Jambo TV
Wakatili hawadhuriani.