Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja
Akamdai kidoti mali alizozificha kwwke.
Na hivi keshapata mtoto sijui kama penzi bado lipo
 
Kabisa Kaka sasa kama ni hivi, waachie wafungwa wote. Tuanze upya.
Kuna mambo yanafanyika hii nchi ni ya aibu. Mahakama inaingiliwa na watawala... tujifunze kwa wenzetu, Mahakama ni Muhimili kamili hautakiwi kuingiliwa kwa namna yoyote.
Umeongea bonge moja la point hapa 😆
Kama vipi wafungwa wote waachiwe tuanze upya ila mambo ya siasa haya yana mambo mengi
 
Duh, at last.
Lesson learnt the hard way.

Viongozi wengine mjifunze... power is no permanent and is always shifting... just eat your cake and behave.

Ule ujinga aliokuwa anaf1anya nadhan amepata fundisho maisha yake yote.

But... one thing.

Sheria ni za watu masikini?

Ukate watu masikio na miguu, upige watu, upore mali za watu na bado unaambiwa upo huru....
Huna ushahidi wewe, ni unafiki tu wa CHADEMA ndo ulimuweka gerezani lkn haki imetamalaki
 
Ajiangalie. Amewaumiza watu wengi. Kuwa kwake jela ndio ilikuwa pona yake. Huyu atapigwa chuma tu. Hii kauli yangu itaishi. Labda ahame nchi.
 
Weekend Tutakuwa pale club Red stone moshi , yoyoyte mwenye hasira na uyu bwana aje na silaha..sabaya kaji tolea kudungwa popote pale hili mmalize hasira zenu
 
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru.
 

Attachments

  • FB_IMG_1680691937399.jpg
    FB_IMG_1680691937399.jpg
    79.9 KB · Views: 2
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru.

View attachment 2577142

Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae.

Chanzo: Jambo TV
Kwakweli nchi hii hovyo kabisa huyu sabaya kaumiza watu zahiri kaachiwa huru mashehe wapo meanings miaka 8 kwatuhuma ambazo hazina ukweli wowote
 
Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana


USSR
Heshimu mamlaka bwashee. Kuna mtu alimfitini au sheria za nchi ambazo yeye alikasimiwa azisimamie alizisigina?

Kuwa seriazi katika mambo siriazi katika kutoa komenti siriazi ili usomwe na watu siriazi katika jamvi hili siriazi.
 
Back
Top Bottom