Na MBOWE aliyeombewa MSAMAHA na walamba asali amemalizana na nani.Afadhali sabaya kaingia jela kamalizana na walimwengu ataishi kwa amani...
Kuliko makonda anayeishi kwa mashaka mtaani hana furaha maisha yamesimama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na MBOWE aliyeombewa MSAMAHA na walamba asali amemalizana na nani.Afadhali sabaya kaingia jela kamalizana na walimwengu ataishi kwa amani...
Kuliko makonda anayeishi kwa mashaka mtaani hana furaha maisha yamesimama...
We share the same feelings, huyu atakutana na mahakama ya gachacha.Nawasihi wale waliodhulumiwa haki zao na huyu jambazi ndio muda wa kumalizana nae mtaani.
Siku zote mtu mwenye haki hateteleki kutafuta watu wa kumwombe msamaha sijui akina zitto sijui akina Dr. Askofu ShooJumamosi lazima ataenda kanisani kufanya ibada na kutoa shukrani
Aibu ya nini wakati amenyea ndoo muda wa kutosha!! Shule imeshamuingia tayari!Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana
USSR
Umeongea bonge moja la point hapa 😆Kabisa Kaka sasa kama ni hivi, waachie wafungwa wote. Tuanze upya.
Kuna mambo yanafanyika hii nchi ni ya aibu. Mahakama inaingiliwa na watawala... tujifunze kwa wenzetu, Mahakama ni Muhimili kamili hautakiwi kuingiliwa kwa namna yoyote.
Huna ushahidi wewe, ni unafiki tu wa CHADEMA ndo ulimuweka gerezani lkn haki imetamalakiDuh, at last.
Lesson learnt the hard way.
Viongozi wengine mjifunze... power is no permanent and is always shifting... just eat your cake and behave.
Ule ujinga aliokuwa anaf1anya nadhan amepata fundisho maisha yake yote.
But... one thing.
Sheria ni za watu masikini?
Ukate watu masikio na miguu, upige watu, upore mali za watu na bado unaambiwa upo huru....
Katoka kwa utaratibu uliomtoa Gaidi akaenda Ikulu kulambishwa asaliAmesha tubu dhambi zake zote!? Katoka vp huku alikua ndani ya kifungo tayari!!? Katoka kwa utaratibu upi
Mbona Gaidi hujampiga chuma?Ajiangalie. Amewaumiza watu wengi. Kuwa kwake jela ndio ilikuwa pona yake. Huyu atapigwa chuma tu. Hii kauli yangu itaishi. Labda ahame nchi.
Dogo kashanyooka, ule upuuzi wake hawezi rudia tenaChadema wasione hii 😂😂
Dogo kashakatwa mkia hawezi furukuta tenaTimu gaidi watanyooka tu wasiyempenda anakuja
Kwakweli nchi hii hovyo kabisa huyu sabaya kaumiza watu zahiri kaachiwa huru mashehe wapo meanings miaka 8 kwatuhuma ambazo hazina ukweli wowoteAliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru.
View attachment 2577142
Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae.
Chanzo: Jambo TV
Heshimu mamlaka bwashee. Kuna mtu alimfitini au sheria za nchi ambazo yeye alikasimiwa azisimamie alizisigina?Hongera sana Sabaya Mungu ni mkubwa sana sasa upo mtaani waliokufitini wataona aibu kubwa sana
USSR