Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Sabaya ametoka sasa..Kwakweli leo nimefurahishwa na Serikali ya awamu ya sita.
Wapo makini sana na mambo yao.
Kudos.
Aende akawanyooshe CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sabaya ametoka sasa..Kwakweli leo nimefurahishwa na Serikali ya awamu ya sita.
Wapo makini sana na mambo yao.
Kudos.
Hivi unadhani hata uandikeje unaweza kumshusha aliyebarikiwa na vijembe vya kwenye vijiwe vya kahawa mbowe ni level nyingine kikubwa tupambaniye vipaji vyetu yeye katuacha mbali ni kati ya viongozi wakuu wanchi anatambulika je wewe na Mimi tumejificha Huku kwenye ID fake anatujua nani?Kajifunza sanatenasana. Usisahau Mbowe alikuwa amekodisha komandoo matatu kwenda kumuua? Kwa bahati mbaya (nzuri kwake) makomandoo hayo (Bwire, Ling'wenya, na Adamoo) yakaamua kutembelea soko la Rau kunywa mbege na wa6hudumu, ndipo yakakamatwa na Afande Jumanne wakiongozwa na Kamanda Kindai kwa sting operation ya Afande "Homeboy" Urio. La sivyo angekufa kama ilivyoelezwa ushahidi na Lawyer wa tigopesa. Ila ile kesi ya mbowe ya ugaidi DPP akaona bora aifute kwa vile huyo ole Sabaya hakuzurika tena.
Sasa kama kweli una ubongo kichwani mbowe kaingiaje hapo je sabaya alishitakiwa na mbowe au chadema au mahakama ilikuwa ya chadema mfanyabiashara aliye mshitaki sabaya ni Allex swai na ni mfanyabiashara itakiweje umwiingize mbowe hapa pili tukio la kuvamia kwa mfanyabiashara Allex sabaya alijirekodi na lipo YouTube Sasa whyMungu siyo Mbowe kiasi kwamba awe katiri kiasi hiko
Jambazi liko Uraiani
Haki kweli imeshinda maana kama amekiri Makosa yake hatimae justice has been served.
Inamaana sio huyu aliyeonekana ameshika mtutu kama jambazi kwenye cctv camera!??Ni sawa akisema ameshinda hii ndio aibu ambayo serikali ilikuwa inaitaka kwa kuanzisha kesi kwa kufuata mihemko na hisia za watu wenye chuki.
Subiri ya kukute,lazima utanunua Uhuru wako wa kua nje kwa DPP! Yakisha kukuta ndiyo utajua utaratibu aliyotumia Sabaya kutoka Nje!!yani mtu kasema ukwel, kakiri makosa ndo kachiwa nchii hii haielewek
Alishinda appeal ya kesi yake; ingawa alifungwa ilionekana hakuwa na hatia!!Sugu alipotoka Jela alirudi bungeni
Hapo na mimi huyu hakimu kaniacha hoi!! Hawa majambazi walipora milloni 50 halafu hakimu anasema warudishe milloni 5!! Hii hukumu ya wapi? Kweli mauza uza.Mfanyabiasha Alex Swai kaporwa shilingi milioni 50, mahakama inaamuru mshitakiwa amlipe mfanyabiashara Elibariki Swai shilingi milioni 5!!!
Mauzauza hoyee!!
Hana sifa ya kuwa kiongozi wa Serikali na hata kwenye Taasisi za Umma.
Mbona Mbowe alikuwa na kesi ya ugaidi na akaachiwa?SAD NEWS EVER.....
Endapo kama ameachiwa basi na majambazi maporaji mali za watu waliomo magerezani waachiwe huru.
Alishinda appeal ya kesi yake; ingawa alifungwa ilionekana hakuwa na hatia!!
Hili linafikirisha sana, bora hata angemlipa hiyohiyo 50 bila ya fidia. At least that would've been sensible smh.Mfanyabiasha Alex Swai kaporwa shilingi milioni 50, mahakama inaamuru mshitakiwa amlipe mfanyabiashara Elibariki Swai shilingi milioni 5!!!
Mauzauza hoyee!!
Mmechukulia personal sana mashtaka ya 7ya. Siku mbaya kwa wamachame wote.SAD NEWS EVER.....
Endapo kama ameachiwa basi na majambazi maporaji mali za watu waliomo magerezani waachiwe huru.
Waliliachia Gaidi lililopanga uhaini kwa taifa ndio itakua huyu umwitae kibaka??.Mnaachia kibaka?