Tumeshaelewa.Lazima mambo yawe [emoji3539][emoji3539][emoji3539][emoji3539]
Najua mnajua nina maana gani..
Mbowe/Sabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeshaelewa.Lazima mambo yawe [emoji3539][emoji3539][emoji3539][emoji3539]
Najua mnajua nina maana gani..
Wakina nani wafanye? Si mnapumua baada ya kuinewa sana kwa miaka 5 au?Wewe ndio unapoteza muda praise team ya Lumumba.
Jambazi kuachiliwa sio ajabu ndio maana hata panya road wanatesa mitaani tu huko na hakuna chochote mlichowafanya.
ARUDISHIWE NA UKUU WA WILAYAView attachment 2213874
Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake
kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.
View attachment 2213907
Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani wengine katika kesi hiyo ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka matatu ya unyang'anyi kwa kutumia silaha.
Oktoba 15, mwaka 2021, Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo, alimtia hatiani Ole Sabaya na wenzake kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.
View attachment 2213863
Ole Sabaya wakati akifikishwa Mahakamani kusikiliza rufaa yake Mei, 2022
Pia, soma=> Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha
We thank the President for this monumental decision, thank you Madam Samia, what an mama this is, Ubarikiwe RaisView attachment 2213874
Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake
kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.
View attachment 2213907
Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani wengine katika kesi hiyo ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka matatu ya unyang'anyi kwa kutumia silaha.
Oktoba 15, mwaka 2021, Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo, alimtia hatiani Ole Sabaya na wenzake kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.
View attachment 2213863
Ole Sabaya wakati akifikishwa Mahakamani kusikiliza rufaa yake Mei, 2022
Pia, soma=> Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha
Kwa hiyo mama mwenye uchaguzi unao anataka kuwafanya ufipa na mr belgiji kuwa ikulu?Mama kasema Uchaguzi ujao hakuna cha Ballot stuffing.
Ili tuwanyuke ninyi na Umoja Party yenu.
Ipi kesi ikiyobaki ina dhamanaFuatilia habari kwa umakini.
Sabaya atandelea kuwa gerezani kutokana na kesi nyingine.
Hizo IQ mkuu zikitumika kisiasa nitafute nikupongeze.Serikali kwa mara nyingine ijitathmiini katika uwezo wa Idara na Taasisi zake kutayarisha kesi na mashahidi kwani zimefeli hivyo kushindwa ku-i-move Mahakama Kuu kuwa kulikuwa na kesi ya kusikilizwa kwa kutumia mizania ya kisheria.
Je tatizo ni kukosekana wanasheria wa serikali walioiva ? Je mfumo haki jinai (criminal justice system) yaani Polisi, TAKUKURU, DPP na Mahakama za chini zinakosa rasilimali watu wabobevu wa kuchunguza, kuandaa na kusikiliza tuhuma / kesi toka mwanzo wa mchakato mzima wa kutoa haki Au kesi hii ilikuwa kuna shindikizo?
Hata Mbowe husema anasakamwa na makundi ya watu! Jr nae anaishi kwa tabu?Aliposema anasakamwa na makundi ya watu wanaotaka wamuue kwani hakua yeye aliyesema?
Ndio maana Mbowe kafyata kuhusu katiba mpya?Hana cha Kuwafanya wamemminya makende Waliomfunga ni ccm mpya
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mkojani amechoka na Masimango yenu nyie Polepole's Umoja Party keshaamua yeye abaki Afroshirazi na ninyi Tanu yenu halafu tuone😂Kwa hiyo mama mwenye uchaguzi unao anataka kuwafanya ufipa na mr belgiji kuwa ikulu?
Ni kweli kabisa Sabaya kaachiwa kwa tehnicality issues katika hukumu yake na si kwamba hakutenda vile vitendo lakini unaweza shikwa na mshangao Serikali itakapoamua kutokata rufaa...nashangaa hii mada inajadiliwa bila kuwa na reference ya HUKUMU iliyosomwa mahakamani.
..nimesoma gazeti la Mwananchi na wanaripoti kwamba, Jaji amekubali kwamba Sabaya na wenzake wamepora, asichokubaliana nacho ni matumizi ya silaha.
..mpaka hapa nadhani ni mapema kusema Sabaya ameruka kihunzi hiki. Upo uwezekano wa serikali kukata rufaa.
Huru wapi na bado ana kesi ya uhujumu uchumi....View attachment 2213874
Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake
kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.
View attachment 2213907
Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani wengine katika kesi hiyo ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka matatu ya unyang'anyi kwa kutumia silaha.
Oktoba 15, mwaka 2021, Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Odira Amworo, alimtia hatiani Ole Sabaya na wenzake kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.
View attachment 2213863
Ole Sabaya wakati akifikishwa Mahakamani kusikiliza rufaa yake Mei, 2022
Pia, soma=> Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha
Sijawahi zuiwa kupumua.Wakina nani wafanye? Si mnapumua baada ya kuinewa sana kwa miaka 5 au?
Nyie ndio mlisema, Kama ww hukubakwa basi shukuru tu pengine zamu yako haikufika.
Muulize pambalu na wengine