Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Hii hukumu imepokelewa vibaya sana,kwakweli tunahitaji Katiba Mpya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MnoooMambo ya kijinga kabisa
Hivi kwanini watu wanaona hili ni jambo la ajabu? Ina maana hamuoni kinachoendelea!
DPP alikataa ''Bashite'' asishtakiwe, jambo nadra sana kutokea . Hamkujiuliza tu
''Bashite'' na Sabaya ni Team JPM, huwezi kumwacha Bashite ukamuadhibu Sabaya
Ukifanya hivyo mmoja atamwagwa 'mpunga'
Hawa vijana wana mengi vifuani mwao!
JokaKuu Pascal Mayalla
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi ?
Mama anaupiga mwingi ee?
Ccm ni wajanja hawalingani kabisa na chama la magaidi lile!
Vipi kwanza mbona sisikii kelele za katiba mpya? Au mwamba alirambishwa nini siku ile pale ikulu kwa hangaya?
Au mmemuachia maria space tu?
Noted[emoji848]Hivi kwanini watu wanaona hili ni jambo la ajabu? Ina maana hamuoni kinachoendelea!
DPP alikataa ''Bashite'' asishtakiwe, jambo nadra sana kutokea . Hamkujiuliza tu
''Bashite'' na Sabaya ni Team..., huwezi kumwacha Bashite ukamuadhibu Sabaya
Ukifanya hivyo mmoja atamwagwa 'mpunga'
Hawa vijana wana mengi vifuani mwao!
JokaKuu Pascal Mayalla
Ndio....tena na mashtaka kafutiwa yaani hakuwahi kufungwa jela hivyo ana haki ya kugombea ngazi yoyote ya uongozi au kuteuliwa ngazi yoyote ile ya uongozi.Kama una maelezo ya kutosha uyatoe ,uwe clear. Kwamba kaenda nyumbani?
Na mchumba ake hajalia?Mama yake amelia kwa uchungu sana baada ya mwanae kushinda
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sabaya usiombe msamaha mwanangu , hawa wanaokwambia hv walikusagia kunguni kinyama na thread zao zimo humu ....!!! Ila ulimtafuna Nandy kibabe Sana [emoji1]