Wewe ndio unapoteza muda praise team ya Lumumba.

Jambazi kuachiliwa sio ajabu ndio maana hata panya road wanatesa mitaani tu huko na hakuna chochote mlichowafanya.
Wakina nani wafanye? Si mnapumua baada ya kuinewa sana kwa miaka 5 au?
 
ARUDISHIWE NA UKUU WA WILAYA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
We thank the President for this monumental decision, thank you Madam Samia, what an mama this is, Ubarikiwe Rais
 
Mama kasema Uchaguzi ujao hakuna cha Ballot stuffing.

Ili tuwanyuke ninyi na Umoja Party yenu.
Kwa hiyo mama mwenye uchaguzi unao anataka kuwafanya ufipa na mr belgiji kuwa ikulu?
 
Hizo IQ mkuu zikitumika kisiasa nitafute nikupongeze.


Kuna siku niliwaza sana nikafanya conclussion."Hii dunia tunapita tu jifurahishe mwenyewe"
 
Aliposema anasakamwa na makundi ya watu wanaotaka wamuue kwani hakua yeye aliyesema?
Hata Mbowe husema anasakamwa na makundi ya watu! Jr nae anaishi kwa tabu?
 
Kwa hiyo mama mwenye uchaguzi unao anataka kuwafanya ufipa na mr belgiji kuwa ikulu?
Mkojani amechoka na Masimango yenu nyie Polepole's Umoja Party keshaamua yeye abaki Afroshirazi na ninyi Tanu yenu halafu tuone😂
 
Ni kweli kabisa Sabaya kaachiwa kwa tehnicality issues katika hukumu yake na si kwamba hakutenda vile vitendo lakini unaweza shikwa na mshangao Serikali itakapoamua kutokata rufaa.
 
Huru wapi na bado ana kesi ya uhujumu uchumi....
 
Viongozi wanafiki na waongo! Faidini saana vya duniani, vya mbinguni vinawataka watenda mema na wasio na ila! mnawafunga watu jela kwa tamaa zenu na ili tu mpate umaarufu

Mnawafunga watu jela kisa mkate?
Asante na ubarikiwe Hakimu iwapo umesimama kwenye kweli!

Pole sana Sabaya, Mungu atakulipia ikiwa ni kweli hukuwa na hatia
 
Wakina nani wafanye? Si mnapumua baada ya kuinewa sana kwa miaka 5 au?
Sijawahi zuiwa kupumua.

Siku zote napumua tena vizuri na hiyo miaka 6 unayoisema sikuwa nikiishi banana republic.

Nachojua dikteta uchwara hayupo ila wapambe na makuwadi wake bado wapo mojawapo ni hilo jambazi la Hai.
 
Hivi kwanini watu wanaona hili ni jambo la ajabu? Ina maana hamuoni kinachoendelea!

DPP alikataa ''Bashite'' asishtakiwe, jambo nadra sana kutokea . Hamkujiuliza tu

''Bashite'' na Sabaya ni Team..., huwezi kumwacha Bashite ukamuadhibu Sabaya

Ukifanya hivyo mmoja atamwagwa 'mpunga'

Hawa vijana wana mengi vifuani mwao!

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Nashauri Bw SABAYA atumie Ushindi wa Rufaa yake KUOKOKA KUMRUDIA MUNGU na KUWAOMBA MSAMAHA ALIOWAKOSEA AKIWA DC kwani ALITUMIA MADARAKA aliyokuwa nayo Kuumiza Watu na FAMILIA ZAO kwa KISINGIZIO CHA MAAGIZO KUTOKA JUU MAAGIZO ambayo HAYAKUMSAIDIA mpaka ikapelekea KUFUNGWA MIAKA 30 hao WATU WAPO na ATAKUTANA NAO MITAANI
SABAYA Anarudi URAIANI bila CHEO bila ULINZI zaidi ya Kujilinda Mwenyewe


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Nyie ndio mlisema, Kama ww hukubakwa basi shukuru tu pengine zamu yako haikufika.
Muulize pambalu na wengine

Hana ujanja wa kumbaka Pambalu, kama ni mjanja kweli aje sasa hivi wakati hana backup ya vyombo vya dola, uone kama hatapata ujauzito wiki ya kwanza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…