Kwa akili yako sawa! Hivi unadhani watu wote wanamihemko kama nyinyi na hakimu wenu uchwara! Eti Sabaya jambazi na mbakaji! Huu ushahidi wa kijinga uliokuwa na malengo ya kulipiza kisasi kwa wafanyabiashara matapeli wa hapo kaskazini dhidi ya Sabaya! Endelea kuota ndoto za mchana!
Ashinde hii na hii ya mwisho wa mwezi Tena?
Sabaya amepewa temporary relief tu Ila makao yake ya kudumu ni jela
 
Hakuna kesi hapo, acha ujuha
Hongera wewe husiye juha,ila usichokijuavni kuwa kutengua uamuzi wa trial court basing on technicalities and not on merits of the case haimzuii jamhuri kukushtaki upya. So ndugu intellectual wewe naomba ulijue hilo hiyo rufaa ilikuja kutokana na uamuzi wa kesi iliyosikilizwa na kutolewa uamuzi na mahakama yenye compitent jurisdiction of which uamuzi wa leo ungeweza kutoa order ya retrial. Unaposema hamna kesi hapo wewe ndo unaonekana juha msomi.
 
Muachieni kabisa wala hakuna haja ya kutumia kodi zetu kuendeleza shauri lolote dhidi yake. Tunafahamu wazi sasa ni kiini macho proper. Mahakama yetu wananchi ilisha mtia hatiani zamani mno. Makosa ya kubaka binti zetu ishirini na mwingine ni bint yangu mwenyewe aliyekuwa anasoma chuoni Arusha. Ameua watu kumi maCHAame na naruMU. Aliwalawiti vijana watatu na kuwatupa kikatiti. Ametesa watu kuliko shetani mfano mmoja ni wale aliowakata manikin na wengine kuwapigilia misumari miguuni. Yule aliyeingizwa chupa sehemu za siri bado yupo.

Hukumu yake ilitoka zamani nayo ni kifo. Ahsante mahakama kwa kumuachia na karibu sabaya Arusha, Moshi, Hai, kibosho, Machame. Karibu Dar, karibu kaskazini, kusini mashariki au mangharibi TUPE FURSA YA KUTEKELEZA HUKUMU YETU WAATHTIRIWA. sasa tupo tayari kwa lolote.
 
Hawakutaka aendelee kukaa jela tu. Wangetaka angepangiwa jaji kutoka popote, mradi abaki huko huko! Kumbuka kesi ya Mbowe,Jaji alitoka Mwanza kama vile dar es salaam ina uhaba wa majaji.
 
Hongera sana Sabaya na Poleni sana Haters,
Watanzania wanapenda sana visasi vya kukomoana lakini kwenye mambo ya msingi waishia kunung'unika tu.
 
Mbowe alivyoachiwa na hao² Majaji Mahakama hazikupoteza Credibility Ila Kwa sabaya zimepoteza Sio?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania ki ukweli wanajuwa kuzimwa wakihemka kwa tatizo lolote kwa kuletewa jambo jingine Tata ili watoke kwenye reli na hii serikali ya CCM.

Issue ya mafuta ya Petrol ilikuwa imefika hatua mbaya na tishio kwa serikali hii, lakini kilichotokea kama yatokeavyo mengine ni kuwa Hukumu ya Sabaya ikaonekana ifanywe sababu.

Ili watu wachukie, ni kumuagiza Jaji aende kinyume na jambo lililo wazi kuhusu kesi hiyo na mjadala wenye hasira utaondoka kwenye ongezeko la bei ya Petrol na kuhamia kwa Sabaya.

Hakika CCM inajua kuwachezea Watanzania!
 
Sabaya ameshawahi kutiwa hatiani na kufungwa hivyo amepoteza sifa ya kuwa kiongozi wa umma.
Mbona Nelson Mandela,Keneth Kaunda,Hichilema na Robert Mugabe waliwahi fungwa kwa nyakati tofauti lakini wakawa viongozi katika nchi zao.
 

Hatari sana, mfumo uliopo hawakutaka haki itendeke kwa kutibua kwa makusudi mwenendo wa kesi toka mwanzo kabisa.
 
Binafsi naiona ni AIBU KUBWA kwa Ofisi ya DPP kushindwa KESI YA WIZI wa KUTUMIA SILAHA na NGUVU iliyokuwa inamkabili MTEULE wa RAIS DC SABAYA
KESI ilitakiwa iwe KIELELEZO na FUNDISHO kwa Wateule Wa RAIS wanaotumia MADARAKA YAO Vibaya kwa
KUTESA
KUPIGA
KUONEA
KUDHURUMU WANANCHI na KUWAUA kama alivyofanya DC SABAYA lakini Uzembe na Kutokuwa Makini kwa MAWAKILI wa SERIKALI wameshindwa KESI na SABAYA
 
Lazima utaga dagaa mwaka huu!

Mbona gaidi nae aliachiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…