Lengo la Lissu ni kuua ndege wawili kwa wakati mmoja. Wenye akili tumemuelewa, ila wasio na akili hawajamuelewa

Lisu akichukua tu fomu ya kupambana na namba 1 wake, mama Abdul anamuongeza namba 1 wake hela ahonge wasimamizi wa uchaguzi mkuu wa chama, ili Lisu achinjiwe baharini na namba 1 aendelee kubaki kuubeba kukibeba chama cha mama Abdul kibaki madarakani.
Usibezwe
 
Sasa huyo mama, Lissu wasipoitwa kuhojiwa na TAKUKURU, tutajuaje ikiwa ni uongo au Kweli?
Inamaana itakuwa uongo kama alivyozoea kuwadanganyika wadanganyika kuhusu ufisadi wa Lowasa miaka 10 iliyopita.
 
Lisu kama kweli ana nia ya kuleta mabadiliko ya kweli nchini, basi aanzishe chama chake.

Lakini akitegemea huko alipowekwa ndo wamsapoti kumuangusha namba 1 wao ili aingie yeye kubadilisha chama, nakuhakikishia kuwa ataendelea kubwabwaja huku wenye chama wakimcheka pembeni na kumuona mwendawazimu.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili kwa wakati mmoja ili aweze kufanikiwa lengo lake la muda mrefu, japo inaonekana wazi kuwa kwa aina ya ndege anaotaka kuwaangusha, hakuna ndege hata mmoja ambae ataweza kumdondosha kwa namna yoyote ile itakayojaribu kuitumia.

1. Tukianza na ndege namba moja (mkuu wa wakuu wote)
Ndugu Lisu amekuwa akijaribu kupambana na mkuu huyu kwa kujaribu kumchafua kwa kumtupia lawama mbali mbali za kweli na zisizokuwa za kweli, ilimradi afanikiwe kumchafua, kumdhalilisha, kumvunja moyo na kumfanya aonekane hafai mbele ya wale anaowaongoza akiwemo yeye mwenyewe Lisu.

Kwa bahati mbaya au nzuri watanzania wa leo sio wale wa enzi za mwembeyanga, Soweto Arusha nk. Wa leo wengi wanajitambua na kuelewa kila kitu. Unaweza kuongea utumbo wako wakakupuuza na kukuacha uendelee kubaki na utumbo wako hivyo hivyo, au wengine wakaonesha kuunga mkono utumbo wako, lkn wakakupa adhabu kubwa katika sanduku la kura na kukufanya ubaki unalalamika mwenyewe.

2. Ndege namba mbili (namba moja wa chama chake)
Bila shaka ameshaona kuwa namba moja wa chama chake sio mpinzani wa kweli, ni mchumia tumbo anaeweka masilahi ya tumbo lake na familia yake mbele (kumbuka sakata la Lowasa), hivyo kwa yeye (namba 1 wake) kuendelea kuwa kitini kama kiongozi, ni njia moja wapo inayosababisha chama chao kishindwe kushika dola. Hivyo anajaribu kutupa makombora ambayo yatakuja kumsaidia yeye kupata uungwaji mkono wa kugombea unamba moja wa chama hicho hapo baadae (miezi kadhaa iliyobaki).

Mfano ameanza kuhoji aliemualika mkuu wa wakuu katika kilele cha siku ya wanawake duniani (happy woman's day) mwaka jana. Bila shaka anajua wazi ni nani alietoa wazo, au ruhusu ya mkuu huyo wa wakuu kualikwa, lkn kwa kuhofia kutengwa na chama chake katika uchaguzi ujao, ameshindwa kumface namba 1 wake huyo wa chama, na badala yake ameishia kuzungumka mbuyu kwa kuhoji aliemwalika adui yake (mkuu wa wakuu)

Pili ameanza kulalamika kuwa kuna pesa za mama Abdul (mkuu wa wakuu) zinatumika kupitisha watu wa kukiangamiza chama. Bila shaka ameshamjua mtu ambae aliwahi kwenda katika "jumba la taifa" kinyemela zaidi ya mara mbili kuonana na huyo mama Abdul (mkuu wa wakuu) bila kuwataarifu wenzake na wakapanga waliyoyapanga bila mtu mungine kinyume na waliokuwepo huko kujua kilichozungumziwa na kupangwa.

Hii inaonesha wazi kuwa huenda mhe Lisu sasa anataka kujitokeza kugombea unamba 1 wa chama ili akipeleke chama hicho kwa style ile anayotaka yeye kiende. Ila anahofia pesa za mama Abdul alizokabidhiwa namba 1 wao wa chama kisiri siri, zinaweza kutibua plan yake ya kushika unamba 1 wa chama, kwani namba 1 aliepo anaweza kutumia cheo chake, na pesa hizo (Lisu anadai zilitoka kwa mama Abdul) kuendelea kubaki kitini kwa miaka mingine mi5 ijayo. Hivyo ndugu Lisu akaendelea kuwa anadhibitiwa na watoa pesa hao kupitia makubaliano waliyopanga kati ya mkuu wa wakuu na namba 1 wa chama chao.

So kwa hali ilivyo ni ngumu mno kwa mzee Lisu kuwaangusha ndege hao, kwani wameshajipanga kwa pamoja kuhakikisha jamaa anakuwa debe tupu. Yani apewe uwanja wa kupiga kelele na kubwawaja apendavyo ila mwisho wa siku wamchinjie baharini. I mean hatopata unamba 1 wa chama chake, wala ule ukuu wa wakuu. Ataachwa aendelee tu kubwabwa na kupozwa na cheo cha ukatibu mkuu wa chama.

Ndomaana mpaka leo si namba 1 wa chama chake, wala mkuu wa wakuu aliejitokeza kumjibu anayoongea. Cause wanajua ni mbio za sakafuni tu zitakazoishia ukingoni.
sio kweli...
ispokua ...

Jambo la kwanza kibaraka anatamaa na uchu wa madaraka wa kupindukia wa kua chairman wa Chadema Taifa, tena bila utaratibu. Patriots ndani ya Chadema wameshtukia hilo na wamejipanga kumzuia kwa namna zote 🐒

Jambo la pili anawakilisha fikra na mipango ya mabwenyenye wa ng'ambo kama puppet, ndio maana anajaribu kutengeneza mercenaries wa kutosha, wa kuvuruga umoja ndani ya Chama chake kushinikiza chairman wa sasa ang'atuliwe kwa kupandikiza chuki, Lakini pia kutikisa umoja wa kitaifa kwa shinikizo la mabeberu yanayomfadhili, vitu ambavyo amepuuzwa vibaya sana na waTz mpaka sasa 🐒

mengine ni story na porojo za bora liende 🐒
 
Uliyoandika naona mengi yana ukweli, maana mpaka chawa wake mmawia siku hizi anamkwepa. Hampi promo kama zamani.
 
LISU NI WA KUMUONEA HURUMA TUH,ZILE RISASI ZOTE KUISHIA MWILINI MWAKE SIYO JAMBO LA MASIHARA
LISSU NI MWANASIASA AMBAYE HOJA ZAKE MPAKA SASA HAZIJAJIBIWA. WATU WAMESHINDWA SHAMBULIA HOJA ZAKE WANAMSHAMBULIA YEYE. NA NI MTU MMOJA CCM KAMA 20 MPAKA SASA WAMEJITOKEZA SIYO KUJIBU HOJA BALI KUMSHAMBULIA
 
sio kweli...
ispokua ...

Jambo la kwanza kibaraka anatamaa na uchu wa madaraka wa kupindukia wa kua chairman wa Chadema Taifa, tena bila utaratibu. Patriots ndani ya Chadema wameshtukia hilo na wamejipanga kumzuia kwa namna zote 🐒

Jambo la pili anawakilisha fikra na mipango ya mabwenyenye wa ng'ambo kama puppet, ndio maana anajaribu kutengeneza mercenaries wa kutosha, wa kuvuruga umoja ndani ya Chama chake kushinikiza chairman wa sasa ang'atuliwe kwa kupandikiza chuki, Lakini pia kutikisa umoja wa kitaifa kwa shinikizo la mabeberu yanayomfadhili, vitu ambavyo amepuuzwa vibaya sana na waTz mpaka sasa 🐒

mengine ni story na porojo za bora liende 🐒
Je.
1. Sami ni mzanzibar au si mzanzibar?
2. Hajawaondoa Wamasai (Watanganyika) Loliondo au amewaondoa?
3. Je hajauza bandari za Bara tu kwa wajomba zake au ameuza?
 
LISSU NI MWANASIASA AMBAYE HOJA ZAKE MPAKA SASA HAZIJAJIBIWA. WATU WAMESHINDWA SHAMBULIA HOJA ZAKE WANAMSHAMBULIA YEYE. NA NI MTU MMOJA CCM KAMA 20 MPAKA SASA WAMEJITOKEZA SIYO KUJIBU HOJA BALI KUMSHAMBULIA
Hoja!! Dunia ya leo watu wanataka hoja au mikakati ya kuwatoa katika umasikini na kuwapeleka katika utajiri.

Watu wanataka wasikie ilani ya chama inasemaje kuhusu mustakabali wa maisha yao na taifa lao. Sio kusimama na kuanza kubwabwaja hadi watu wanaanza kuwa wanaikimbia mikutano yake.

Kuna mtu aliekuwa na hoja zenye mashiko kama mchungaji Mtikila, mbona aliondoka bila kukanyaga ikulu mpaka leo?

Angalia mkutano wa huyo unaemwita mwenye hoja (Lisu) na mkutano wa huyo anaetangaza sera za chama chake na kuweka mikakati ya kuwasaidia wananchi (Makonda) uone ni nani aliepata watu wa kwenda kumsikiliza.
 
Attachments

  • IMG-20230520-WA0008.jpg
    IMG-20230520-WA0008.jpg
    109.8 KB · Views: 1
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    44.9 KB · Views: 1
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili kwa wakati mmoja ili aweze kufanikiwa lengo lake la muda mrefu, japo inaonekana wazi kuwa kwa aina ya ndege anaotaka kuwaangusha, hakuna ndege hata mmoja ambae ataweza kumdondosha kwa namna yoyote ile itakayojaribu kuitumia.

1. Tukianza na ndege namba moja (mkuu wa wakuu wote)
Ndugu Lisu amekuwa akijaribu kupambana na mkuu huyu kwa kujaribu kumchafua kwa kumtupia lawama mbali mbali za kweli na zisizokuwa za kweli, ilimradi afanikiwe kumchafua, kumdhalilisha, kumvunja moyo na kumfanya aonekane hafai mbele ya wale anaowaongoza akiwemo yeye mwenyewe Lisu.

Kwa bahati mbaya au nzuri watanzania wa leo sio wale wa enzi za mwembeyanga, Soweto Arusha nk. Wa leo wengi wanajitambua na kuelewa kila kitu. Unaweza kuongea utumbo wako wakakupuuza na kukuacha uendelee kubaki na utumbo wako hivyo hivyo, au wengine wakaonesha kuunga mkono utumbo wako, lkn wakakupa adhabu kubwa katika sanduku la kura na kukufanya ubaki unalalamika mwenyewe.

2. Ndege namba mbili (namba moja wa chama chake)
Bila shaka ameshaona kuwa namba moja wa chama chake sio mpinzani wa kweli, ni mchumia tumbo anaeweka masilahi ya tumbo lake na familia yake mbele (kumbuka sakata la Lowasa), hivyo kwa yeye (namba 1 wake) kuendelea kuwa kitini kama kiongozi, ni njia moja wapo inayosababisha chama chao kishindwe kushika dola. Hivyo anajaribu kutupa makombora ambayo yatakuja kumsaidia yeye kupata uungwaji mkono wa kugombea unamba moja wa chama hicho hapo baadae (miezi kadhaa iliyobaki).

Mfano ameanza kuhoji aliemualika mkuu wa wakuu katika kilele cha siku ya wanawake duniani (happy woman's day) mwaka jana. Bila shaka anajua wazi ni nani alietoa wazo, au ruhusu ya mkuu huyo wa wakuu kualikwa, lkn kwa kuhofia kutengwa na chama chake katika uchaguzi ujao, ameshindwa kumface namba 1 wake huyo wa chama, na badala yake ameishia kuzungumka mbuyu kwa kuhoji aliemwalika adui yake (mkuu wa wakuu)

Pili ameanza kulalamika kuwa kuna pesa za mama Abdul (mkuu wa wakuu) zinatumika kupitisha watu wa kukiangamiza chama. Bila shaka ameshamjua mtu ambae aliwahi kwenda katika "jumba la taifa" kinyemela zaidi ya mara mbili kuonana na huyo mama Abdul (mkuu wa wakuu) bila kuwataarifu wenzake na wakapanga waliyoyapanga bila mtu mungine kinyume na waliokuwepo huko kujua kilichozungumziwa na kupangwa.

Hii inaonesha wazi kuwa huenda mhe Lisu sasa anataka kujitokeza kugombea unamba 1 wa chama ili akipeleke chama hicho kwa style ile anayotaka yeye kiende. Ila anahofia pesa za mama Abdul alizokabidhiwa namba 1 wao wa chama kisiri siri, zinaweza kutibua plan yake ya kushika unamba 1 wa chama, kwani namba 1 aliepo anaweza kutumia cheo chake, na pesa hizo (Lisu anadai zilitoka kwa mama Abdul) kuendelea kubaki kitini kwa miaka mingine mi5 ijayo. Hivyo ndugu Lisu akaendelea kuwa anadhibitiwa na watoa pesa hao kupitia makubaliano waliyopanga kati ya mkuu wa wakuu na namba 1 wa chama chao.

So kwa hali ilivyo ni ngumu mno kwa mzee Lisu kuwaangusha ndege hao, kwani wameshajipanga kwa pamoja kuhakikisha jamaa anakuwa debe tupu. Yani apewe uwanja wa kupiga kelele na kubwawaja apendavyo ila mwisho wa siku wamchinjie baharini. I mean hatopata unamba 1 wa chama chake, wala ule ukuu wa wakuu. Ataachwa aendelee tu kubwabwa na kupozwa na cheo cha ukatibu mkuu wa chama.

Ndomaana mpaka leo si namba 1 wa chama chake, wala mkuu wa wakuu aliejitokeza kumjibu anayoongea. Cause wanajua ni mbio za sakafuni tu zitakazoishia ukingoni.
Naona dc umeamua kutetea ugali wako
Jitahidi bila ya kujitoa ufahamu unaweza kutumbuliwa
na kweli ujakosea watanzania
Wa sasa sio wa zama hizo
Wasasa hivi ukiwa ambia anaupiga mwingi

Wanakushangaa sasa hivi kila mbuzi
Anakula urefu wa kamba yake
Viongozi wamekua majeuri
Ukiwa ambia jambo fulani halijakaa sawa wanakuambia amieni burundi
Na upande wa kura kukosa za kutosha
Watanzania wa sasa wanajua kama Tanzania hakuna uchaguzi kuna uteuzi

Halafu uoni hata aibu kusema ata adhibiwa kwenye kura

Tanzania kuna mtu anapiga kura
Kabla ya hicho mnachokiita uchaguzi
Teari mshawa andaa watu wenu
Wakuwatangaza washindi
Hata kabla ya hicho mnachokiita uchaguzi

Tundu lissu uwezo wake sawa sawa nyinyi wakuu wa wilaya wote nchi nzima
Bado hamfikii uwezo wa ufahamu
Wa tundu lissu
Angalia mwenyewe mlitaka kumu ua mkafa nyinyi
Na ndio maana akiongea kidogo tu
Mna pagawa nchi nzima mna changanyikiwa
Machawa mnatumwa kila kwenye mitandao kujitahidi kumchafua
Lakini mnachafuka nyinyi
Ww zungumzia machawa wenzio
Tundu lissu bahari nyingine hio
Mm naelewa hata mwenyewe
Unajua tundu lissu bahari kubwa
Isipokua bila ya kusema hivyo utaikosa 7000 ya lumumba
 
Threads nyingi kupoteza kadhaa ya rushwa anayomtuhumu baba ndubwi
 
Lissu atatuvusha na hakuna njia nyingine isipokuwa hiyo hiyo yenye miiba na taabu na uzuri kwa alokwisha yapitia hakuna kinachoweza mtisha "LILAANIWE LILE DUDU LILILOTAKA KUUONDOA UHAI WA LISSU AMBALO SASA HIVI LINAKULA MAKONZI HUKO KUZIMU"
 
Back
Top Bottom