Huu ni uongo MWANAMKE asili yake UBINAFSI(changu changu chako chetu) utakeusitake ila ni swala la muda tu utarudi kwenye ASILI!!Kujenga familia pamoja na nyumba yangu
Siwez msumbua mumewangu et kununua sufuria ama bakuli zikivunjika siwez msubir aje ndo nimpe mtoto dawa akiumwa nae binadamu anachangamoto pia atapitia lazima nimsapot
Na kizazi nitakiendeleza kuhus kundi utajua wewe uniweke wapi
Nakubali sana JolineNaunga mkono hoja
Hizo ni miongoni mwa kazi na zote pamoja na hizo nyingine hazifai, Muache mke wako akafanyishwe kazi sio wangu, we subiri mshahara uletewe ujisifu nimeoa mke mwenye akili anapambana. Mimi najielewaKwani biashara uliona ni kubeba matunda tu?
Sijamzidi mama yako aloo πΉKwa Kauli hii Itakuwa inasoma Km1569843000000000.
Kwahiyo kujielewa ni kuoa mke mama wa nyumbani ambae chumvi ikiisha anakupigia wewe simu?Hizo ni miongoni mwa kazi na zote pamoja na hizo nyingine hazifai, Muache mke wako akafanyishwe kazi sio wangu, we subiri mshahara uletewe ujisifu nimeoa mke mwenye akili anapambana. Mimi najielewa
Ungekua Na wewe Umekufa ningeamini Maneno Yako Ila upo Hai Endelea Kukitembeza Cha Kurithi Huwa Kinadhidi Ila Usisahau Kufanya Service.Sijamzidi mama yako aloo πΉ
Unampiga pini, ukimuacha huku nyuma bodaboda,wauza bucha,mangi na akina poti wanajigemulia ukiwa kazini...haya ya kuzuia wasifanye kazi ni mawazo ya kijimaMwanamke hawezi kuwa submissive kwa wanaume wawili au zaidi - wewe na boss wake.
Ni either awe submissive kwako (awe goalkeeper) au submissive kwa boss wake (aajiriwe). Uamuzi ni wako.
Kuhusu kuteseka ukifa haina uhusiano wowote kama utacheza nafasi yako vizuri kama mwanaume.
Kumzuia mke kufanya kazi, ni, ukatili wa, kijinsia wa, kishamba Sana, unakuta kuna njemba Ina mke, tena graduate, amekaa darasani miaka minne, dokta, wakili, au injinia, njemba inamkataza asifanye kazi, sasa Bora uwe na ukwasi kama wa bakheresa, hata ukitaka mkeo asiajiliwe kwingine, umuajiri wewe na umpe salary kubwa sawa, sasa wewe salary yako, chini yq milioni 24Kwa mwaka! Hutaki mke afanye kazi, sasa kwa nini alisoma, na unakuta unasomesha ns binti zako, why! Wakae nyumba ni tu, maaana kwako mwanamke, ni wa nyumba ni tu, elimu ya chuo ya nini!Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Ukishaingia Ndani Vipaumbele Vinabadilika Yaani Ni Kama Draft Ukikaa Nje Unaliona Sana ila Ukiingia Unapigwa Tatu Mpaka King.Kwanini?
Yani nisiwatunze kwann?
Nisiwapende kwanini?maybe wao wasiponipenda Sina huo moyo km naweza kuwapenda wasio ndugu zangu siwez shindwa kuwapenda wazazi wa mumewangu
Wengi wamejawa na wivu na ubinafsiKumzuia mke kufanya kazi, ni, ukatili wa, kijinsia wa, kishamba Sana, unakuta kuna njemba Ina mke, tena graduate, amekaa darasani miaka minne, dokta, wakili, au injinia, njemba inamkataza asifanye kazi, sasa Bora uwe na ukwasi kama wa bakheresa, hata ukitaka mkeo asiajiliwe kwingine, umuajiri wewe na umpe salary kubwa sawa, sasa wewe salary yako, chini yq milioni 24Kwa mwaka! Hutaki mke afanye kazi, sasa kwa nini alisoma, na unakuta unasomesha ns binti zako, why! Wakae nyumba ni tu, maaana kwako mwanamke, ni wa nyumba ni tu, elimu ya chuo ya nini!
Kuna wale waliojipanga, unaunakuta ana biashara zake kubwa, anaweza kuwa na hoja ya kutaka mkewe afanye nae kazi, lakini kumzuia mtu mzima mwenye akili na uwezo wake akae nyumbani tu! Kupika na kupakua! Mpaka siku anaingia kaburini! It's backward, primitive, barbaric, and, stupid
Sahihi kabisa kumbe unaelewa, ulitaka ambambie nani?Kwahiyo kujielewa ni kuoa mke mama wa nyumbani ambae chumvi ikiisha anakupigia wewe simu?
Ni kuombeana kheri tusianze kutishana mkuuπUkishaingia Ndani Vipaumbele Vinabadilika Yaani Ni Kama Draft Ukikaa Nje Unaliona Sana ila Ukiingia Unapigwa Tatu Mpaka King.
Usijari Kila Kitu Ni wewe Mwenyewe Na Tumtangulize Allah .Ni kuombeana kheri tusianze kutishana mkuuπ
Anza kufanyia service ki-pumpkin chako kwanza kinaonyesha kimechokaaaa dakika za jioniiiiiiiiiiii π€£πΉπΉUngekua Na wewe Umekufa ningeamini Maneno Yako Ila upo Hai Endelea Kukitembeza Cha Kurithi Huwa Kinadhidi Ila Usisahau Kufanya Service.
πππππππππππππππHiyo Ndo Thamani Yako Nilivyokupima.Anza kufanyia service ki-pumpkin chako kwanza kinaonyesha kimechokaaaa dakika za jioniiiiiiiiiiii π€£πΉπΉ
Sawa dada ki ππππππππππππππππHiyo Ndo Thamani Yako Nilivyokupima.
Hao wanaume pia wanatakiwa wawe wanafanya kazi zingine za uzalishaji. Si kuziba nafasi za wanawake..You mean hakuna wanaume wa kuziba hizo nafasi?