Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Mie fact yangu ni zile video za content creator, aliyetoa video zaidi ya 400 na zote zikawa viral za legend Baltazar Engonga.Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Uho ni ujinga kuna mda inatakiwa kuacha wivu haya unakataa uko mke anakuja kuliwa na boda tena ni mdogo kwako na kwa mkeo si dharau?Kuna jamaa namjua kabisa na alioa mke msomi na mzuri na mfanyakazi serikalini.
Kwenye idara ya mke wake aliletwa mkuuu mpya, ambaye alikuwa Ex wa huyo mwanamke.
Jamaa alimpa optio kuacha kazi au kuacha ndoa...
Wengi walioachishwa kazi wamekuwa watumwa kwa waume zao wamekuwa ovyo hawavutii kabisa na akili inadumaa kwasababu mda wote yupo nyumbana kazi yake kusafisha nyumbaWengi wanaowaza hivi ni zip mbovu, manipulative, weak na wapenda vinyonge. Jukumu la familia ni la wazazi wote kwa ustawi wa watoto. Sasa kusema eti mke ana majukumu mengi yanayoihusu familia hilo halipingiki ila sio kufikia eti aachishwe kazi. Watu wanaotaka mama wa nyumbani wanatakiwa waoe mama wa nyumbani na sio kuoa tofauti waanze kushinikiza au kushauri hao wake zao kuacha kazi.
Angalieni watu walio oa mama wa nyumbani na familia ambayo wote wanafanya kazi ipi ina welfare?Mie fact yangu ni zile video za content creator, aliyetoa video zaidi ya 400 na zote zikawa viral za legend Baltazar Engonga.
Mke ni pambo la nyumba, mwanaume fanya kazi.
Iyo ni option mzuri ila sio kumfanya mwanamke golikipaTumewaachisha kazi tumew afungulia biashara
Hapana wapo wanawake mnakaa mnapanga maendeleo vizuri mfano now mnaweza kupanga mmoja anashughulikia sikukuu na pango la nyumba mwingine anasolve ada za watoto shule na maandalizi yote ya skuliUbinafsi ndio shida kubwa. Yaani ndani ya Familia kuna kuwa na wanaume wawili. Mume anapanga, mke naye anapanga. Pesa yake, anataka atumie pekeyake. Yamumewe ni ya Familia nzima!.
Kwamba unataka kuacha kazi?Hao wanaokata wake zao kufanya kazi ni kabila gani tuwatafute,
Hizi kazi nazo zinachosha walahi😥
Serious, niko naisubiri hiyo kauli mtu aniambie acha kazi mamaaa upumzike nyumbani ila sioni dalili😑Kwamba unataka kuacha kazi?
Ndio maana sikuhizi kuna kaupepo kamepita wasichana majobless wanaolewa kwa wingi.Wengi wanaowaza hivi ni zip mbovu, manipulative, weak na wapenda vinyonge. Jukumu la familia ni la wazazi wote kwa ustawi wa watoto. Sasa kusema eti mke ana majukumu mengi yanayoihusu familia hilo halipingiki ila sio kufikia eti aachishwe kazi. Watu wanaotaka mama wa nyumbani wanatakiwa waoe mama wa nyumbani na sio kuoa tofauti waanze kushinikiza au kushauri hao wake zao kuacha kazi.
Ya mama wa nyumbani. Mke kumpa uhuru wa kujitafutia ni kumpa ruhusa ya kuliwa tu na watu wa nje.Angalieni watu walio oa mama wa nyumbani na familia ambayo wote wanafanya kazi ipi ina welfare?
Mbona unawasaliti wenzako wa 50/50 🤣Hao wanaokata wake zao kufanya kazi ni kabila gani tuwatafute,
Hizi kazi nazo zinachosha walahi😥
Mie nilishajitoa huko zamani sana aisee, kunachosha walahi😥😂😂Mbona unawasaliti wenzako wa 50/50 🤣
Kwahiyo akitokea mtu mwenye hela zake. Akisema nakuoa ila nakuweka ndani na kukupa hela, ni mwendo wa kupika, kula, kuliwa, kuzaaa, kulala, kulea tu unakubali ? Hautaki 50/50Mie nilishajitoa huko zamani sana aisee, kunachosha walahi😥😂😂
WAnasemaga Golden chance haiji mara2Kwahiyo akitokea mtu mwenye hela zake. Akisema nakuoa ila nakuweka ndani na kukupa hela, ni mwendo wa kupika, kula, kuliwa, kuzaaa, kulala, kulea tu unakubali ? Hautaki 50/50