Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Kwa hiyo Mh.Lissu siyo Mhaini.Set him Free Now.
 
Unawashwa sana wewe bibi. Kwanini usianzishe thread yako huko uandike unachotaka? Kenge ww
 
Tuko live kabisa hapa, tuletee updates.

Afu vipi mashahidi wengine 3 wameshafika hapo mahakamani au?
CDF, IGP na DCI wamefika?
MKUU WA MAJESHI ANATAKA KUTUPA TAULO.

Taarifa ni kuwa jana zilisambazwa meseji vikosi vyote, briged zote, division pamoja na ditach zote za Jeshi kuwa wasipokee barua yoyote kutoka mahakamani, yaani summons.

Kwa hiyo kuna uwezekano Mkuu wa Majeshi asije kuhudhuria mahakamani kwa sababu elimu yake unga unga mwana, pia anakashfa kibao jeshini. Hata uteuzi wake wanajeshi hawakukubali. Wanasema wanatamani sana afike kizimbani wamjue kiundani, maana kuna pesa ambazo ni posho za wanajeshi waliosimamia ulinzi tarehe 29 Oktoba hawajailipwa mpaka leo.

Kifupi, Mkuu wa Majeshi haji kutoa ushahidi kuogopa dodoso la Lissu.

Sisi wananchi tunataka afike mahakamani, kama hataki futeni Kesi haraka.
 
Vipi sheria na kanuni zinasemaje kuhusu shahidi ambaye atakataa wito wa mahakama?

Lazima aje atoe ushahidi, laa hasha hastahili kukaa kwenye hicho cheo hata kwa dkk 1 au zaidi.
 
Loh huu mtihani sasa Loh huu mtihani sasa ila ngoja tuone mwisho utakuwaje na sheria zinasemaje
 
wameyataka wenyewe si wanajifanya wapo juu ya sheria wanakimbia nn sasa?
 
Hivi unaweza kuthibitisha haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…